Inataka uiributi bila hivyo itafikia kutowaka hadi ukaflashi imejaa virusiWajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Si ndio kuboot? Kwahiyo nifanyeje kama computer ninayo au mpaka kwa fundi?Inataka uiributi bila hivyo itafikia kutowaka hadi ukaflashi imejaa virusi
Inategemea kama unaweza maliza mwenyewe tuuSi ndio kuboot? Kwahiyo nifanyeje kama computer ninayo au mpaka kwa fundi?
Toa betri ya simu kwa muda kisha irudisheWajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Maana yake wahuni wanavinjari ndani ya simu yako!Ila usihofu ngoja tumuite Luca atatupatia ufafanuzi,kwani anajiita afisa doria mitandaoni!Wajameni hivi ikitokea unawasha cm yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika hivyo ikitaka kufunguka inarudi inaandika hayo je nifanyeje kusolve hili?
Kumuuzia mtu kitu mpaka ujue kazaliwa wapi 🤣Hayo ni mambo ya kawaida sana, siku hizi ukitaka kumuuzia kitu mtu angalia kwanza amezaliwa wapi na historia yake japo kidogo kwa ufupi, mpaka hapo nazani umeshanielewa.
Yeah! Ukitaka kumuuzia mtu kitu ni muhimu kujua ni mtu wa namna gani, ni mshamba au mjuaji na huko ndiko huonyesha mtu kazaliwa wapi.Kumuuzia mtu kitu mpaka ujue kazaliwa wapi Mnunuaji ndiyo akae chonjo siyo muuzaji
Na mfano computer ikiwa inawaka fresh halfu ikikaa kidogo inajifyatua inazima,nimecheki charge ipo powa kila kitu kipo fresh tatizo hili ni nini? Mda mwingine inakaa haizimi hata masaa 6 but utaona inajifyatua na kuzima na taa za charge zinawaka kama kawaida tatizo nini?Inategemea kama unaweza maliza mwenyewe tuu
Cm zimeungwanishwa full na betri ndani kutoa mpaka kwa fundiToa betri ya simu kwa muda kisha irudishe
Kuributi ilikataa nikareset app zote imefuta nimeanza na moja kabisaaInataka uiributi bila hivyo itafikia kutowaka hadi ukaflashi imejaa virusi