Hii ina maana gani kwa mwanamke?

hivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wetu walikuwa na wake wengi, wake wa siku hizi hawataki kusikia mitala. Hivyo by that time uzazi wa mpango uliwezekana kwa mme.kuwa na wake wengi
 
Kuna rafiki yangu mmoja dada yake yuko uswizi tena ni nesi, anadai kuwa Wazungu si watu wazuri hata kidogo.

Wao wanawatengenezea Mama zetu hayo madawa ya uzazi wa mpango nakati Wazungu hawatumii hata kidogo zaidi ya kutumia kalenda za kawaida na kuifunga mirija ya uzazi isitunge mimba.
Demokrasia kwenye ndoa ni kujimaliza mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata K zao Wanawake wanaotumiaga uzazi wa mpango huwa ni za baridi sana, hayo madawa hupelekea humpunguzia Mwanaume uwezo wa kujamiiana na Mwanamke, naogopa ban lkn kuna kila aina ya uozo uliojificha kupitia huo uzazi wa mpango.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binasf sioni faida ya kutumia hayo mavidonge mungu akinijalia hata watoto kumi nazaa kwa kweli niliwahi kushuhudia dada yangu aliacha alipata matatizo.
 
😂😂😂😂😂😂
Ushauri wa kwanza abadili rafiki, ushauri wa pili awe mwanaume.
 
Hizo sindano zina side effects nyingi mno,wadau mbalimbali wamezitaja hapo juu pia kuna wanawake wengine wakitumia hizo either atanenepa sana au atakonda sana....Nadhani njian nzuri ya kupanga uzazi ni kutumia njian za asili kama njia ya kalenda, mwanume kumwaga nje mbegu, na nyinginezo ambazo hazitoleta madhara baina ya wanandoa
 
We jamaa usihamishie uhusika kwa rafiki yako huyo mtu ni wewe!!! pambana nae acha uoga vinginevyo utaendelea kunyimwa na kuna lijamaa kitaa linapewa kiulaiiiiini.
 
Habari za asubuhi.

Leo nimeamka na hii jamani.

Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini kutokana na usalama wa afya ya mama inatakiwa sindano zikishafika 3 ubadilishe njia nyingine ya uzazi.

Sasa jamaa alimzoesha mke wake kwenda nae hospitali kila wanapokwenda kuchoma sindano.

Kwa Sasa jamaa majukumu yamem bana, anashindwa kwenda na MKE wake kubadili uzazi wa mpango.

Sasa Basi
Mke anaogopa (hataki) kwenda mwenyewe, na anamwambia jamaa hapa hupati PENZI (papuchi) mpaka upate muda twende hospitali kuweka kipandikizi.

Maswali kwa wadau
1. Ni sawa mwanamke kumuwekea biti mume wake Kama hivo??

2. Jamaa afanye Nini? Ameniomba ushauri.

Kwakuwa nami kichwa maji nikaona niulete humu kwa wajuzi zaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Bichwa water au sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom