Shoo shoo faza naamini umenielewaNi kweli mkuu uko sawa kabsaa.wewe uta fahamianaje na mwamba.kwanza .mwamba auongei amna ulichokosea
Aliyekwambia Salaam sio muhimu nani.?Salamu sio muhimu sana i hope amani imetawala
mkasa upo hivi-- Niko na girlfriend wangu me naishi dar na yeye yuko mkoani. Huyu manzi sijajuana nae jana bali kitambo sana tumesoma wote primary baadae familia yake ikajaga kuhama na kwenda mkoa wa mbali kidogo. Lakini wakati hayo yote yanatokea hatukuwa wapenzi, tulipotezana kwa takribani muongo na pointi mbili hivi baadae tumekuja kuonana mapenzi yakaja automatically akaniletea shobo nyingi nikamdadia
Ni mwaka wa pili sasa yupo na mimi analeta mapenzi mengi sana na me nimemzoea sana nasema nimemzoea kwasababu me sijui kupenda namzoeaga mtu tu sijui ndo kupenda kwenyewe au la. Ameshalifungaga safari toka mkoani kuja dar kwaajili yangu kama mara mbili hivi. Wasifu mkubwa wa huyu manzi ni mlokole sana mcha mungu mno na ndivyo familia yao ilivyo.
Ishu iko hivi jana wakati natoka kwenye mishe zangu town nikashukia kimara baruti kuonana na mzee fulani hivi maana me nakaa mbezi mwisho. Wakati namsubiri huyo faza nikawa napata soda kwa duka moja mitaani hiyo, kuna jamaa alikua kakaa pale baada ya stori kadhaa akaniomba nimsaidie simu yangu kama ina salio apige nami bila hiyana nikafanya hivo.Nakiri kabisa huyu mwamba simjui hanijui na wala hutujawahi kuonana mahali popote. Haikuchukua mda sana jamaa akaanza kunihoji kwa ukali kwamba namba ya mchumba wake nimeipata wapi? Na nina uhusiano gani na yeye?maana namba niliisevu kimahaba Akadai kuwa ni mchumba wake mda mrefu toka wako chuo na wana mipango ya ndoa. Jina lake kanitajia mkoa alipo kwa sasa aisee ni girl wangu wa mkoa. Nikabaki mdomo wazi sikuwa na kufanya nikarukia daladala kuelekea mbezi mwisho appointment yangu na faza ikaharibika
Wakuu hii imewezekana vipi? Bado jibu sipati nikijihoji
Kuna watu wanajua kuigiza zaidi ya Hollywood, nilikuwa na mwanamke mmoja wa aina hiyokwako anaprtend ulokole. Kwa mwanachuo mwezake mahaba Kama changudoa vile.
Kweli usilolijua ni Usiku wa giza
Salamu sio muhimu sana i hope amani imetawala
mkasa upo hivi-- Niko na girlfriend wangu me naishi dar na yeye yuko mkoani. Huyu manzi sijajuana nae jana bali kitambo sana tumesoma wote primary baadae familia yake ikajaga kuhama na kwenda mkoa wa mbali kidogo. Lakini wakati hayo yote yanatokea hatukuwa wapenzi, tulipotezana kwa takribani muongo na pointi mbili hivi baadae tumekuja kuonana mapenzi yakaja automatically akaniletea shobo nyingi nikamdadia
Ni mwaka wa pili sasa yupo na mimi analeta mapenzi mengi sana na me nimemzoea sana nasema nimemzoea kwasababu me sijui kupenda namzoeaga mtu tu sijui ndo kupenda kwenyewe au la. Ameshalifungaga safari toka mkoani kuja dar kwaajili yangu kama mara mbili hivi. Wasifu mkubwa wa huyu manzi ni mlokole sana mcha mungu mno na ndivyo familia yao ilivyo.
Ishu iko hivi jana wakati natoka kwenye mishe zangu town nikashukia kimara baruti kuonana na mzee fulani hivi maana me nakaa mbezi mwisho. Wakati namsubiri huyo faza nikawa napata soda kwa duka moja mitaani hiyo, kuna jamaa alikua kakaa pale baada ya stori kadhaa akaniomba nimsaidie simu yangu kama ina salio apige nami bila hiyana nikafanya hivo.Nakiri kabisa huyu mwamba simjui hanijui na wala hutujawahi kuonana mahali popote. Haikuchukua mda sana jamaa akaanza kunihoji kwa ukali kwamba namba ya mchumba wake nimeipata wapi? Na nina uhusiano gani na yeye?maana namba niliisevu kimahaba Akadai kuwa ni mchumba wake mda mrefu toka wako chuo na wana mipango ya ndoa. Jina lake kanitajia mkoa alipo kwa sasa aisee ni girl wangu wa mkoa. Nikabaki mdomo wazi sikuwa na kufanya nikarukia daladala kuelekea mbezi mwisho appointment yangu na faza ikaharibika
Wakuu hii imewezekana vipi? Bado jibu sipati nikijihoji
Jamaa muoga sana, huenda ulitoka balu hata simu ukamuachia huyo jamaa.
Kweli wanaume wa Dar ni shiidaa!
Hakuna demu wa peke yako dunia hii....we chapa na wenzako wanachapa..wanadamu tumeumbwa kushirikiana
Kanipigia simu sana na bado anaendelea kunipigia ila sitawahi kupokea simu yake maana shobo alileta yeye sio mimiPole mkuu kikubwa ushajua kinachoendelea we kaa kmya uone kifuatacho ni nn si ajabu pia hampo peke yenu (wawili)
Uko sahihi fazaFaza hapo bado ujawasoma wa mikoani . Ila ukimchunguza bata huto mla
askof huwa mnapenda kutuhubiria uvumilivu, nawe vumilia endelea nayeNishauri hivohivo tu faza
Umemaliza. Halaf baadhi ya wanawake wanao act ulokole si wasafi hata kidogo. Yaani wana mambo mengi.. masharti kibao kumbe ni.wale wale.. mm huwa nawapotezea tu.maana hamna namna.kwako anaprtend ulokole. Kwa mwanachuo mwezake mahaba Kama changudoa vile.
Kweli usilolijua ni Usiku wa giza