Hii imetokea leo Kisarawe

Hii imetokea leo Kisarawe

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,764
Imagine wakati dunia nzima inahangaika na janga la Corona kuna nchi inakusanya watu pamoja kama siafu namna hii!
65430987.jpg
76655.jpg
7654%E2%81%B009.jpg
5321.jpg
15314.jpg
 
Tutaisoma namba unaelewa maana yeke.tafakari chukua hatua.
 
Wenzao wakipata covid wanaenda Nairobi wao sijui ndiyo watapiga nyungu. Masikini wa Tanzania wana tabu sana
 
Wenzao wakipata covid wanaenda Nairobi wao sijui ndiyo watapiga nyungu. Masikini wa Tanzania wana tabu sana
kawaida sana mchungaji tunamchangia gari muumini maskini na mwenye njaa tunamwombea
 
Wenyewe wanakwambia maisha lazima yaendelee na jni ukumu la kila mwananchi sasa kuevaluate level ya risk na umuhimu wa mtu binafsi kujipelekea eneo la tukio.

Kwa sasa hakuna haja ya kulalamika sana na kujaribu kuwaonea huruma watu wasiojionea huruma
 
Upuuzi wako tu

Inaua 3.5% according to hao hao waliokutengenezea ugonjwa.Niambie tuna Ebola nchini nikuelewe sio Corona

Kwahiyo kwa ujinga wako ulitaka tuteseke na corona wkt tuna malaria imetushinda na inaua zaidi ya hiyo corona...

Kwahiyo maisha yetu yote tuvae barakoa tusijikusanye kisa kuna ugonjwa unaua 3.5% ya PoP wkt kuna magonjwa kibao yanaua zaidi ya hapo tena rika zote watoto,vijana na wazee.Hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho wao wenyewe floyd kauliwa na police wameingia barabarani,think think think acha kuwa jinga jinga mfuata mikumbo.Tumia akili zako

Tuondoleeni upuuzi wenu wa kisiasa
 
Back
Top Bottom