Hii imekaaje

Hii imekaaje

KANDIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
917
Reaction score
320
Unakuta unampenda mtu, you have relationship with him/her for about a year.
Then mnatofautiana kwa kitu kidogo tu ambacho ni fixable, lakini inawatenganisha kihisia hadi inafikia hutaki kupokea simu zake, na ukipokea dkk tano unaziona masaa matano.
But unakuta mtu mwenyewe kaomba msamaha zaidi ya mara moja, na still Bado anakutafuta hata kama imepita miezi miwili toka uache kumpigia simu.
How can you handle this situation
 
Ukifanyiwa hivo huna lako alitafuta kisingizio akupige chini
 
Kwa Hiyo hapo mkuu Viol ni kila mtu achape lapa, lakini Kuna ulazima wa kuambiana ukweli au kimya kimya tu mtu atajiongeza
 
Last edited by a moderator:
Kwa Hiyo hapo mkuu Viol ni kila mtu achape lapa, lakini Kuna ulazima wa kuambiana ukweli au kimya kimya tu mtu atajiongeza

Umesema ni tofauti ya kitu kidogo,mtu kukuchunia hata week au mwezi kwa kitu kidogo hapo lazima ujikate zako,mtu anayekupenda kweli kukuchunia hata kwa siku nzima ni ngumu sana,watu kama hao hata usibembeleze wanapata kiburi,kaa kimya na wewe kama anakupenda atakutafuta,kuchuniwa kwa mwezi wote ujue hapo hamna lako
 
Last edited by a moderator:
Yeah hapo inaonekana mapenzi ni one way traffic
 
Achana nae, ukimbembeleza anavimba kichwa. Leave her/him, take time to recover th pain, then find th one who loves you unconditionery
 
Umesema ni tofauti ya kitu kidogo,mtu kukuchunia hata week au mwezi kwa kitu kidogo hapo lazima ujikate zako,mtu anayekupenda kweli kukuchunia hata kwa siku nzima ni ngumu sana,watu kama hao hata usibembeleze wanapata kiburi,kaa kimya na wewe kama anakupenda atakutafuta,kuchuniwa kwa mwezi wote ujue hapo hamna lako

Kuuumbeee.....
 
Ukifanyiwa hivo huna lako alitafuta kisingizio akupige chini

Bongo Flava: http://youtu.be/kV0z6p46rIE

Napenda hapo anaposema au ndo umeamua kunitafutia sababu sababu....
 
Matendo yake yameshasema hakupendi anakuonea haya tu kutamka,jiongeze tu kwa kumsaidia kum block na kufuta mawasiliano naye.
Anayekuona wa nini Muone wa kazi gani.
 
sitaki nataka za nini kwani nyie kuku? kama mnapendana yaongeeni yaishe kama mmechokana kila mtu ashike njia yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom