Hii imekaaje ?

Hii imekaaje ?

Mwalimu wa hawa Viumbe alishatangulia mbele za haki,ndiyo maana hawajifunzi kipya majibu yao yote yanafanana.
 
mi kwa kweli nakupa fact we n wa saba..sasa km unataka mzigo chapa tuendelee kama huwezi sepa coz hii kitu ni kama halua haina makombo ati ukiiosha tu ishakuwa mupyaa
 
mi kwa kweli nakupa fact we n wa saba..sasa km unataka mzigo chapa tuendelee kama huwezi sepa coz hii kitu ni kama halua haina makombo ati ukiiosha tu ishakuwa mupyaa

Hahahahaha!!!!
 
[FONT=trebuchet
ms]Dah! Nilikuwa kwenye jam nawaza. Mara ghafla nikakumbuka kitu ambacho
sijawahi kukitilia maanani.

Yani wasichana wote niliowahi kukutana nao (Except wife tu) eti mimi
nilikuwa wa pili kwao. Yaani after yule aliyewaingiza ukubwani.

Seriously? Yaani inawezekana hiyo coincidence? yani wote i was the
second?

Dah hapo nilikuwa napigwa changa la macho tu halafu mbaya hata
sikuwauliza walijisemea tu.
Eti "baby you're my second"[/FONT]

na waifu wako alikuwa wa ngap kwako?
 
we unataka kikojoleo au unataka kujua we wangapi...chimba chini kinde chako uwe wa kwanza.
 
ungeambiwa wa 30 ungemwanzishia thread anakuambia wa 2 unaanzisha thread wewe unataka kuwa wa kwanza halafu ikusaidie nini sasa!!!!
 
Mm kila nilie date nae kama hana jina la mary bas ni mariarosa au rosemary hadi nkaogopa kwa kwel.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom