Hii Imekaaje?

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Tuseme nina cut-off points za chuo X, na kozi ninayoipenda inatolewa chuo X tu. Sasa kukwepa ushindani wa kuwa admitted kwenye kozi hiyo kupitia TCU nimeamua ku-apply moja kwa moja moja chuoni kwani nina uwezo wa kugharimia masomo yangu bila mkopo...may be nitaaply mkopo nikiwa mwaka wa tatu. Hii inawezekana wakuu?
Asanteni na kila la heri katika masomo yenu!
 
Let
n(E)=X
n(S)=X
p(E)=?
soln
p(E)=n(E)/n(S)
p(E)=(X/X)
ans:p(E)=1
Sasa ebu fanya interpletation mwenyewe ukishindwa niambie...
 
Let
n(E)=X
n(S)=X
p(E)=?
soln
p(E)=n(E)/n(S)
p(E)=(X/X)
ans:p(E)=1
Sasa ebu fanya interpletation mwenyewe ukishindwa niambie...

No. of events = No. os Sample Space so probability ni 1
HESLB hawatabiliki kijana so probability should be less than 1.
 
Back
Top Bottom