hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii imekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, May 29, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  jamani hivi hii sela ya kilimo kwanza itafanikiwa? Huku kijijini kwetu,watu wamekopeshwa power tila,wanafanyia biashara ya kubebea mizigo kupeleka sokoni,hazilimi tena,wanadai eti,bila kufanya hivyo watashindwa kulipa deni!kweli tutafika?na wahusika wanasema wahahusiki na matumizi yake,kila mkulima ana haki ya kutumia apendavyo!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwanza elewa kuwa "kilimo kwanza" siyo sera, pili elewa kuwa kupeleka mazao sokoni ni moja ya mbinu za kuboresha kilimo kwani usipouza huwezi kulima.
   
Loading...