Tafadhali bhana hiyo picha ya shemeji yetu, tumsitili kidogo. Lakini shemeji na wewe ilikuwaje mambo ya kaka ukayaweka hadharani hivyo? Au ndio sababu niliyowafanya muachane kwa kuwa ilikuwa haina mweyewe?
Duh, hata kama biashara ni matangazo hiyo sambusa angejaribu kuiwrap na tissue paper ili mteja awe anajiuliza "What next?". Sasa hivyo iko wazi imeshapigwa vumbi haifai tena kwa walaji!
Mmmmmmmh, naona alibana budget kwenye nguo ya kuvaa kwa stage that's y akavaa top peke yake. Lakn ameumbuka coz ki2mbua kiko wazi na kimepigwa na vumbi na labda kimeshaingia mchanga.