Nikijaribu kuwaza naona kama wana jamii ni wengi sana lakini pia hatutofautiani sana kimawazo na kimsimamo. Hivi mnaonaje kama siku moja tuandae mkutano wa wanajamii, lengo la mkutano liwe kufahamiana na ku discuss mambo mbalimbali yanayohusu nchi yetu, huu mkutano unaweza kufanyika mara 1 kwa mwaka. Baadhi yetu tutachanga hela ya ku facilitate huo mkutano. Embu niambieni mnaonaje hili wazo.