Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

Pole madada na hongera kwa kuomba msaada. Zingatia yafuatayo ktk maamuz ya kumkubali au kumkataa huyo kijana.
1. Uhawala tena unaofanyka kwa siri ni ngumu kufa.
2. Ndoa si kitu cha kujaribu, i mean you better be sure about the man.
3. Kuwa makin ktk kuusikiliza moyo wako, ile saut ya chini au ya polepole ya moyo wako ndyo sahh.
4. Dhamira ya huyo kaka kufanya uhawala wa siri na rafkyo ni picha tosha ya ndoa utakayokuwa nayo endapo utakubali, lastly i wish you all the best in your desicion. Nobody can speak for your hear, let it speak by itself.
 
Asante kaka Kaveli. Hapana,sijafanya maamuzi yoyote yale and if anything niliazimia moyoni mwangu kwamba this kind of a relationship will not work out for me. I didn't come here seeking for consent to date the guy,i simply came to ask for advice ili nijue ni jinsi gani ya kudeal na hii situation.

in red, what exactly do you mean? i'm kinda puzzled by such phrase. umaanisha kwamba u are hesitant to reject/accept him too soon? au your mind and heart are distinctly conflicting over the guy?
 
if he culd risk his life just for papuchi him lying abt loving u nd even continuing with that frend of urs isnt beyond him. na hawara hawaachani.
 
Hapana,bado ni mapema sana kusema kwamba nampenda. I like him just as a friend ila in a different situation i wouldn't mind dating him,tatizo langu alishatoka na rafiki yangu kipenzi tena kwa siri kubwa and he confessed this to me. That's where the dilemma comes in.

Ingia kama umemchoka yule rafiki yako wa kike! FYI, akijua hatakusamehe milele!! Huu ndio ukweli--ukitaka kujua jipime ingekuwa ni wewe uko kwenye position ya huyo rafiki yako. Jiulize kama alikuwa anakupenda wewe why alimtokea huyo rafiki yako awali (coz umesema wote watatu mko ofisi moja)? Tena akijua fika kwamba rafiki yako ni mtu aliyetengana tu na mumewe!?
 
hahahaaa, miss-mwenzio huyo yupo njia panda ya chalinze

Njia panda anajiweka yy ila huyo si mwanaume wa kuolewa nae.....au laaaah akubali kuvunja heshima yake ofcn na pia urafik kufa na yule best yake.

Na hiyo ni gia yakugegeda hakuna ndoa kati yao.
 
All are possible! na akimpata amgegede vizuri haswaa, sio kabao kamoja kama wale wachina wa miradi ya ujenzi.
 
Hapana,bado ni mapema sana kusema kwamba nampenda. I like him just as a friend ila in a different situation i wouldn't mind dating him,tatizo langu alishatoka na rafiki yangu kipenzi tena kwa siri kubwa and he confessed this to me. That's where the dilemma comes in.

Jamaa ni mkweli. Kama kabla ya hapa uliwahi kumuuliza na kakataa, then una haki ya kumkataa kuwa si mkweli. Ila kama mlikuwa mnanong'ona na hakuwauliza sioni sababu hii ndo iwe chanzo, si ajabu huyo rafiki yako alimpa mashart hayo na kuwa akisikia tu kwa watu then mahusiano yanaisha pale pale.

Kumbuka kama vile hakuna aliye 'perfect person', hivyo hivyo hakuwa 'wrong person'.

Mwisho sali sana, mwombe Bwana akupe amani ya moyo ufanye maamuzi sahihi.
 
Pole madada na hongera kwa kuomba msaada. Zingatia yafuatayo ktk maamuz ya kumkubali au kumkataa huyo kijana.
1. Uhawala tena unaofanyka kwa siri ni ngumu kufa.
2. Ndoa si kitu cha kujaribu, i mean you better be sure about the man.
3. Kuwa makin ktk kuusikiliza moyo wako, ile saut ya chini au ya polepole ya moyo wako ndyo sahh.
4. Dhamira ya huyo kaka kufanya uhawala wa siri na rafkyo ni picha tosha ya ndoa utakayokuwa nayo endapo utakubali, lastly i wish you all the best in your desicion. Nobody can speak for your hear, let it speak by itself.
 
Kwanza nitangulize salamu wakuu. Natumai wote wazima wa afya. Ni hivi,kuna huyu kijana ambaye ni workmate na tumeshafahamiana kwa miaka 4 sasa. Kwa mda sasa kulikuwa na minong'ono ofisini kuhusu mahusiano yake ya siri na rafiki yangu wa kike ambaye kwa kipindi chote hicho alikua ametengana na mume wake. Ukweli ni kwamba hakuna mtu ambaye alikua na uhakika kuhusu mahusiano yao ila kulikuwepo na viashiria kwamba mahusiano yao yalikua zaidi ya "just casual friends".

Sasa huyu rafiki yangu mume wake amemrudia na kuomba radhi na tayari mipango ya ndoa imeshaanza. Harusi yao ni mwishoni mwa mwaka huu na vikao vimeshaanza. Sasa hapa ndo tatizo langu linapokuja. Yule kijana ambaye alikua anahisiwa kutoka na rafiki yangu alinifuata na kuniambia ukweli,kwamba ni kweli walikua na hasiano ya kimapenzi ila kwa siri kubwa sana kwasababu mume wake na rafiki yangu ni mtu mwenye hela sana na angefanikiwa kutambua chochote kuhusu mahusiano yao angeweza hata mtenda vibaya yule kijana. Ila sasa kwa kuwa rafiki yangu anaolewa anaona hana budi kutafuta mwanamke mwingine kwasababu na yeye mipango yake ni kuoa na kuanzisha familia yake by next year.

Mm nikamuuliza swali rahisi sana,kwanini mimi? Akasema kwasababu nakufahamu na ni mwanamke ambaye ningependa awe mke wangu. Nikamuuliza,je kuhusu mahusiano yako ya siri ya rafiki yangu? Akasema hiyo itabaki kuwa siri kati yetu wawili (yy na rafiki yangu). Ila kusema kweli wakuu mm binafsi nahisi hii haijakaa vizuri kwa sababu tayari nimeshafahamu kwamba jamaa alikua anatoka kimapenzi na rafiki yangu tenda kama ndugu yangu halafu leo hii mm nije kutoka naye? Yeye anasema haina shida kwa sababu hakuna aliyekua anajua kuhusu mahusiano yao,ila je rafiki yangu atanichukuliaje? Na pia najiuliza inamaana huyu kijana kaniona mm ndo "rebound love" yake?

Msaada kwenye tuta wakuu. Asanteni kwa mawazo na ushauri wenu.

Ukiamua kuanzisha mahusiano mapya jaribu kufuta mambo yote ya nyuma na anza kuangalia pale mlipoanzia,fuata hisia zako zaidi na kama huyo kaka unampenda kutoka moyoni usiumize kichwa kufikiria eti rafiki ako atajisikiaje, yeye kashapatana na mumewe na tayari wanaanzisha familia yao,na wewe ni vizuri kuanzisha yako na yote yaliyotokea nyuma yenu ni mapito tu.
 
Daah kuna watu wana moyo.......au ndo above 30 zile zinazoongelewa humu?!

Usitukane mamba hujavuka mto....sarcasm only proves the kind of person you are. Think twice before you speak.
 
Mm nakushauri achana na hyo jamaaa kamakweli ushajua mahusiano yao sasa ya nn kutaka kujiingiza hapo na ww tafuta mwanaume mwengine mwenye maslahi na ww sasa kuwa makini na watu wenye tabia hiyo kuchan'ganya mapenzi na shaga yako je kama laitani unafanyiwa ww hvo na shoga yako anakuja kujua utachukulia vp?
 
When we are cornered sometimes Truth is our best weapon... and I can tell you they are very weak on that cause most of them tend to accomodate our situations. The problem hear is was this not a trick? pengine labda alijua kwa namna yeyote baadae huyu atajua tu either kutokana na reaction ya huyo mke wa mtu au vinginevyo.. ikabidi ajisalimishe kwa kujidai mkweli.

Kama alikua keshamuona huyu Miss Kim kama anamfaa kuwa mke kwa nini muda wote huo kwa nini aendelee na huyo mke wa mtu ilihali akijua hamna future apo (mtu atabisha kuwa labda angekuja kumuoa kama mumewe hangerudi...hahahahahah kama hivyo kwa nini nguzo ya huo uhusiano wao ilikuwa ni USIRI ili huyo mume asijue?)... lots of questions.... Of course she is taken as a FALL BACK OPTION to be sincere and honest with the situation.

Jamaa ni mkweli. Kama kabla ya hapa uliwahi kumuuliza na kakataa, then una haki ya kumkataa kuwa si mkweli. Ila kama mlikuwa mnanong'ona na hakuwauliza sioni sababu hii ndo iwe chanzo, si ajabu huyo rafiki yako alimpa mashart hayo na kuwa akisikia tu kwa watu then mahusiano yanaisha pale pale.

Kumbuka kama vile hakuna aliye 'perfect person', hivyo hivyo hakuwa 'wrong person'.

Mwisho sali sana, mwombe Bwana akupe amani ya moyo ufanye maamuzi sahihi.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Mestod. Hatukuwahi kuzungumzia mahusiano yake ya nyuma until he chose to tell me about his secret love affair with my friend. And i have a feeling he told me about it to free himself from any guilt. Pengine asingenieleza kuhusu mahusiano yake na rafiki yangu i'ld have given him a chance ila the fact that he dated my friend even in secret that's already an obstacle for me. I will try to pray about it,asante.
 
Pole madada na hongera kwa kuomba msaada. Zingatia yafuatayo ktk maamuz ya kumkubali au kumkataa huyo kijana.
1. Uhawala tena unaofanyka kwa siri ni ngumu kufa.
2. Ndoa si kitu cha kujaribu, i mean you better be sure about the man.
3. Kuwa makin ktk kuusikiliza moyo wako, ile saut ya chini au ya polepole ya moyo wako ndyo sahh.
4. Dhamira ya huyo kaka kufanya uhawala wa siri na rafkyo ni picha tosha ya ndoa utakayokuwa nayo endapo utakubali, lastly i wish you all the best in your desicion. Nobody can speak for your hear, let it speak by itself.

Thank you Mapanga3,ushauri wako mzuri sana na nitautilia maanani. Bless you!
 
kwanza nakupa pole sana ,nina uhakika unampenda na tayari umekubali ila maneno yameanza kwa office,umejiskia ndivyo sivyo,ss sikukatishi tamaa huyo jamaa hakufai kuwa mume wako,atakuchezea na atakuacha,pili utakosa amani bure offisini maana huo ni upuuzi unaotaka kufanya moja kwa moja ni dhahiri ulikuwa unamtamani hata wakati bado yuko na rafiki yako,imekula kwako kimbia fasta ,tafuta wa kwako achana na huyo tapeli wa mapenzi
 
Point of correction,i am NOT in love with the guy. Tumekua marafiki kwa mda mrefu na hivi karibuni tu ndo ameniomba tuwe wapenzi. Hakuna mtu ofisini aliyekua anafahamu mahusiano yake na rafiki yangu na pia hakuna mtu anafahamu kama kaniomba tuwe wapenzi. And no, i am not desperate for love or a relationship for that matter ila mtu ukiona jambo linakutatiza ni bora uombe ushauri. I totally understand that sio kila mtu atanipa ushauri wenye busara na kama wahenga walivyonena,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo", i guess you know your lot.
 
When we are cornered sometimes Truth is our best weapon... and I can tell you they are very weak on that cause most of them tend to accomodate our situations. The problem hear is was this not a trick? pengine labda alijua kwa namna yeyote baadae huyu atajua tu either kutokana na reaction ya huyo mke wa mtu au vinginevyo.. ikabidi ajisalimishe kwa kujidai mkweli.

Kama alikua keshamuona huyu Miss Kim kama anamfaa kuwa mke kwa nini muda wote huo kwa nini aendelee na huyo mke wa mtu ilihali akijua hamna future apo (mtu atabisha kuwa labda angekuja kumuoa kama mumewe hangerudi...hahahahahah kama hivyo kwa nini nguzo ya huo uhusiano wao ilikuwa ni USIRI ili huyo mume asijue?)... lots of questions.... Of course she is taken as a FALL BACK OPTION to be sincere and honest with the situation.

Ukiisoma post ya Miss Kim #54 hapo juu, ni kama kulikuwa na kuheshimiana ki kaka kaka na ki dada dada sana mpaka akashindwa kumtokea. Na ni kama vile jamaa alijiaminisha kuwa yule ndo Mrs Right, sasa ghafla upepo umebadilika. Amin Tized kuna wakati mshipa wa aibu hutoweka na kuvaa ujasiri.

Labda kama huyu bi dada anamuona jamaa kama ni player flani hivi..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MESTOD unataka kuniambia udada ulikua unategemea uhusiano wa huyo mke wa mtu na jamaa? na kwa maelezo ya msimuliaji unaona kulikua na uelekeo wowote wa MAANA kati jamaa na huyo mke wa mtu zaidi ya ngono tu (if at all you see what is in btn the lines). Na ofcourse kijana ukishaanza kutembea na wake za watu wakati mabinti wamejaa kiasi hiki nayo ni shida pia.

Back
Top Bottom