Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

Jibu rahisi ni hili, OLEWA tu.
Moyo wenye shabaha haupindishwi kwa tege la mkono.

Asante mkuu,umenipa jambo la kutafakari, "Moyo wenye shabaha haupindishwi kwa tege la mkono."
 
Asante Mrs.Leo. Hilo jibu kuhusu mume nilishajibu kwenye post ya Q Man,kindly refer. Hapana,i am not desperate to get married, i have never been. Ila nimeomba tu ushauri nisije jiingiza kwenye jambo ambalo nitakuja jutia.

Basi ndugu yangu kama hutaki majuto hapo si pa kuingia, pamoja na sababu zingine lakini kubwa kuliko yote wasijekuendelea kwa siri hata wakati mmeshaoana
 
Men are very clever and strategic always when it comes to these kind of scenarios. Trust your inner heart (kwenye Red)
Wadada wengi hukosea hapo wanapoona kitu hakija kaa sawa then WANAWAONEA HURUMA WANAUME wanakubali na imani kuwa waliosikia ni kweli tena kweli tupu, Big mistake. Dont make one.

Mm nikamuuliza swali rahisi sana,kwanini mimi? Akasema kwasababu nakufahamu na ni mwanamke ambaye ningependa awe mke wangu. Nikamuuliza,je kuhusu mahusiano yako ya siri ya rafiki yangu? Akasema hiyo itabaki kuwa siri kati yetu wawili (yy na rafiki yangu). Ila kusema kweli wakuu mm binafsi nahisi hii haijakaa vizuri kwa sababu tayari nimeshafahamu kwamba jamaa alikua anatoka kimapenzi na rafiki yangu tenda kama ndugu yangu halafu leo hii mm nije kutoka naye? Yeye anasema haina shida kwa sababu hakuna aliyekua anajua kuhusu mahusiano yao,ila je rafiki yangu atanichukuliaje? Na pia najiuliza inamaana huyu kijana kaniona mm ndo "rebound love" yake?

Msaada kwenye tuta wakuu. Asanteni kwa mawazo na ushauri wenu.
 
usimkubalie coz huo ushosti utaisha na shoga yako na utajiwekea bad reputation hapo oficini,kwanini mpokezane mwanaume?kwani wanaume wameisha?

Asante, my thought exactly
 
Men are very clever and strategic always when it comes to these kind of scenarios. Trust your inner heart (kwenye Red)
Wadada wengi hukosea hapo wanapoona kitu hakija kaa sawa then WANAWAONEA HURUMA WANAUME wanakubali na imani kuwa waliosikia ni kweli tena kweli tupu, Big mistake. Dont make one.

Thank you kaka Tized, you are totally right. Toka mwanzo nafsi yangu ilisita ila nikajisemea maybe i am being too harsh on the guy that's why i decided to do a "reality check" with you guys before i make a mistake. Nashukuru Mungu kwa watu kama nyie,bless you.
 
Nashukuru Honey Faith. I am currently single ila nikisema nampenda huyo kijana nitakua nadanganya. Ila naamini kwamba it's a matter of time before i let my heart fall for him but i wouldn't wish to let myself fall for the wrong person. Ndo maana nikaja omba ushauri kabla ya kufanya maamuzi yeyote.

Kama haumpendi let him go ili uendelee na life yako na kuepusha maneno maneno na rafuki.By the way kama upo single hata humu kwetu jf kuna vijana wapo single hebu waruhusu wakujulie hali kidogo
 
Asante Honey Faith. I am not here looking for relationships, nashukuru kwa ushauri wako.
 
Asante,you don't have to be so negative man. Ningekua na majibu yote nisingeomba ushauri,ila asante kwa kutia mkono humu.

Siko negative but ukiona mwanaume anakutongoza huku ana 'brag' kuhusu wanawake wengine aliowapitia
it is so simple kuwa haja 'ku value ' that much
na kesha jihakikishia 'huna ubavu wa kumkataa'

anaweka mazingira tu ya huko mbele kukuambia chochote
 
foremostly... Listen to your heart. Na mpaka kuja kuomba ushauri umu, tayari ushamkubalia. So just have a 'green light' with the guy.
 
Point of correction,he did not come to me bragging about sleeping with my best friend.He simply told me so that i didn't have to find out from someone else. Na pia hadi tufikie hatua ya ss kujadili mahusiano yake ya hapo nyuma tulishapitia mazungumzo mengi ndo maana akaamua to come clean with his secret relationship. Asingeniambia wala nisingewahi kujua coz they both chose to keep their relationship a secret na sababu alizonipa nilizielewa fika.

And for your information,a man doesn't need to prove himself to a woman ili kuwin her over,if i want you in my life regardless of your background i will take you in coz it's a mutual feeling not otherwise.
 
well-said bro. na mpaka kuja umu jamvini kutaka ushauri kuhusu huo mtongozo, ni ishara ya ''ndege tunduni''
 
foremostly... Listen to your heart. Na mpaka kuja kuomba ushauri umu, tayari ushamkubalia. So just have a 'green light' with the guy.

Asante kaka Kaveli. Hapana,sijafanya maamuzi yoyote yale and if anything niliazimia moyoni mwangu kwamba this kind of a relationship will not work out for me. I didn't come here seeking for consent to date the guy,i simply came to ask for advice ili nijue ni jinsi gani ya kudeal na hii situation.
 
Karibu sana Miss Kim. All the best on your journey.

Contrary to rejecting him ulikua unaenda kumpoteza huyo rafiki yako(shosti) heshima yako na image yako hapo ofisini ingekua damaged. Pia ungeishi maisha ya wasiwasi siku zote maana subconscious mind lazima ingekua inakuambia tu.... kama aliweza kutoka na rafiki yangu kwa SIRI hivyo inawezekana hatoki na mwingine tena kwa siri hivyo hvyo? Kwa ujana wake wote huo alikua tu na huyu mke wa mtu wakati kuna warembo kibao.... tena inawezekana wanatoka kisiri tena na huyu best maana siri yao bado haijavuja na watakutana tu kiisirisiri. (HATA KAMA sio kweli lakini lazima utakuwa disturbed tu)......then yatokanayo na hayo pia yataendelea kukuwinda na kukunyima amani polepole.

Just open you eyes and remain focused to your innerself. You aint late yet.... dont rush, dont convince yourself to love...Its rather a dedicated decission with passion, excitement, inner peace and all its fulness

Cheers!!!!!

Thank you kaka Tized, you are totally right. Toka mwanzo nafsi yangu ilisita ila nikajisemea maybe i am being too harsh on the guy that's why i decided to do a "reality check" with you guys before i make a mistake. Nashukuru Mungu kwa watu kama nyie,bless you.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Miss Kim. All the best on your journey.

Contrary to rejecting him ulikua unaenda kumpoteza huyo rafiki yako(shosti) heshima yako na image yako hapo ofisini ingekua damaged. Pia ungeishi maisha ya wasiwasi siku zote maana subconscious mind lazima ingekua inakuambia tu.... kama aliweza kutoka na rafiki yangu kwa SIRI hivyo inawezekana hatoki na mwingine tena kwa siri hivyo hvyo? Kwa ujana wake wote huo alikua tu na huyu mke wa mtu wakati kuna warembo kibao.... tena inawezekana wanatoka kisiri tena na huyu best maana siri yao bado haijavuja na watakutana tu kiisirisiri. (HATA KAMA sio kweli lakini lazima utakuwa disturbed tu)......then yatokanayo na hayo pia yataendelea kukuwinda na kukunyima amani polepole.

Just open you eyes and remain focused to your innerself. You aint late yet.... dont rush, dont convince yourself to love...Its rather a dedicated decission with passion, excitement, inner peace and all its fulness

Cheers!!!!!

Thank you! Finally,i am at peace with myself,asante sana kaka Tized!
 
Basi ndugu yangu kama hutaki majuto hapo si pa kuingia, pamoja na sababu zingine lakini kubwa kuliko yote wasijekuendelea kwa siri hata wakati mmeshaoana
Dont base on a one way trafick,
Sio lazima huyo kijana akawa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke tena pindi atakapokua ameolewa na yeye kufanikiwa kumwoa Miss Kim.
 
mtongozaji kaulizwa maswali MAWILI tu: (a) kwanini mimi? (b) je kuhusu mahusiano yako ya siri ya rafiki yangu?. Mtongozaji akatoa majibu on the questions posed. Then hatukusikia neno 'NO' to imply rejection from mtongozwaji. Hence now the 'NO/REJECTION' or 'YES/ACCEPTANCE' are subject to ushauri from JF. Ngoja tuone...
 
Kitendo cha kukuambia mahusiano yake na huyo bestie wako then kuendelea kusema eti you're the love of his life is just a strategy, some men use it to manipulate women. Sijapenda hiyo trick anayotumia kuwa na wewe, upo uwezekano kuwa anafanya hivyo ili kumuumiza bestie wako na sio kwa sababu anakupenda kweli.

Don't rush, use your brain and not your heart to evaluate him. Lazima utajua azma yake.
 
Point of correction,he did not come to me bragging about sleeping with my best friend.He simply told me so that i didn't have to find out from someone else. Na pia hadi tufikie hatua ya ss kujadili mahusiano yake ya hapo nyuma tulishapitia mazungumzo mengi ndo maana akaamua to come clean with his secret relationship. Asingeniambia wala nisingewahi kujua coz they both chose to keep their relationship a secret na sababu alizonipa nilizielewa fika.

And for your information,a man doesn't need to prove himself to a woman ili kuwin her over,if i want you in my life regardless of your background i will take you in coz it's a mutual feeling not otherwise.

You do sounds in love already....but good luck...
 
Dont base on a one way trafick,
Sio lazima huyo kijana akawa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke tena pindi atakapokua ameolewa na yeye kufanikiwa kumwoa Miss Kim.

sija base hapo tu ndo mana nikasema pamoja na sababu zingine
 
Daah kuna watu wana moyo.......au ndo above 30 zile zinazoongelewa humu?!
 
Back
Top Bottom