Imekaa "ki - milling milling" au "kukoboana koboana" zaidi !. Ni ishara ya kukwepa wajibu wa mtoto wa kike hapa duniani kwa halalisha viungo vitumike ndivyo sivyo !
kupigwa lini wapi, hukutabadirisha maana halisi ya ushenzi wa tabia zao,
Swali lingekuwa tutoe ushauri gani ili kuwanusuiru waliojiingiza huko na wale ambao bado nadhani na madhumuni ya mtuma hiyo pics
NJOONI KWANGU NINYI MSUMBUKAO NA KULEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA
nje ya kuongozwa na BWANA YESU maisha huwa hivyo
ndani ya uongozi wa BWANA YESU huwezi kuwa hivyo
Kwenda kinyume na uumbaji wa Mungu na kujaribu kufanya yaliyokatazwa, udadisi wetu unatupeleka kubaya, tunapoteza ubinadamu wetu na tunageuka wanyama kwa kasi sana!