Hii imekaaje wakuu

Ngoja huyo mchungaji siku akitekwa ndiyo atajua Musiba ni nani
 
Ndo huyu alisema ana maono ya taifa stars ila hasemi mpaka serikali imlipie ticket ya ndege,malazi na posho kwenda misri ndo atasema.
 
Huyu mchungaji hapitwagi na jambo

Yeye huenda na zinazo trend

Kama ni simba, amber rutty, taifa stars naye anajichomekaga humo humor

Anyways 2020 twende na msiba
Hapa utekeji na manyanyaso tu
Anafanana sana tabia yake na ya chama fulani
 
Anaombewa nini? Mbona watumishi uchwara wa sasa mnainajisi Injili Takatifu ya Mungu?
 
tehteh unaweza jifanya kiherehere unaenda kwenye maombi,,,
Mara Paap Mungu anawapiga radi,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…