Hii imekaaje wadau?

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
468
Reaction score
639
Ilikuwa ni leo takribani Mida ya Saa nane mchana,Binti yangu mpendwa( 2yrs) alikuwa amelala peke yake chumbani.

Baada kama ya saa moja Baadae nasikia akilia kwa sauti ya juu sana, kwenda kumchek nkakuta damu Damu inamtoka kwenye kidole ni kama amekatwa na kitu chenye Ncha kali but kitandani pale nmejaribu kuchek mara mbilimbili hakuna kitu kama hiko hadi sasa bado nachek kiukweli sijaona kitu...Hii inaweza kuwa imekaaje wadau?
 
Pole. Inaonekana kama ametobolewa au kachanwa hapo kidoleni?
 
Watu wa mjini na watoto wenu mnawadekeza mno, ukute sehemu yenyewe unayozungumzia hata haina mikono wala miguu.
Ila pole mkuu.
 

Inawezekana mazingira ya chumbani au kitandani siyo safi, hivyo kang’atwa na wadudu au panya! Vinginevyo hatuwezi kujua pia ni kitu gani kimesababisha hali hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…