Hii imekaaje wadau

Hiyo hali hata mm huwa inanitokea sana nnapokuwa na hela sinaga mzuka kbs na wanawake ila ss nnapokuwa sina kitu ndio utanikuta nahangaika na wanawake,mwisho wa siku huwa namshukuru Mungu kwa hii hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…