Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,314
- 72,740
Nimeshtuka sana kusikia eti msemaji mkuu wa chama tawala CCM Hajui kutumia computer tena katika zama hizi za tekinolojia.
Kwa nafasi yake ndani ya chama tena kikubwa kama CCM usemaji wake sio wa mdomo tuu bali uko katika nyanja nyingi ambapo Computer ndio kitendea kazi kikuu.
Je CCM hawakuliona hilo au wamefanya makusudi.