Wasio na shukrani kwa wazazi wao utawajua tu. Hivi unaamini ulizaliwa na mtu ka huyo unayemdhalilisha humu? Au nyiye wenzetu mlidondoka kutoka angani ka senene?? Acheni thread ka hizi zinatia kinyaa. Namheshimu sana mwanamke kwani ka si yeye nisingelikuwa hapa kwa keyboard nkitekenya button hizi.
Acheni kudhalilisha mwanamke, ni wa maana sana. Iwe Mtera iwe Sahara kwa ukavu yoote ni Muumba katengeneza na kazi yake kamwe hainaga makosa. Elewa, uliyemkuta na Mtera kazaliwa kajikuta hivyo, mshukuru kwa kukupanulia mguu wake. Uliyemkuta mkavu ka Sahara naye kazaliwa hivyo, mshukuru kakupanulia mguu wake pia. Hakupewa nafasi kujichagulia.
Acheni maneno ya kejeli kwa uumbaji ambao hakuna aliyeuchagua.