sic park shalobalo>>>>SIX PACKS SHAROBAROTatizo la wadada weng wa hivyo huwa hawajilew yaan baada atafute mtu ambaye ni smart kichwan yeye anatafuta mwenye six park shalobalo ambaye hana mbele wala nyuma au muda mwingine huwa wanaangukia kwa waume za watu
Una moyoNdege mjanja hunasa kwenye tundu bovu..nikiwa advance nilitokea kumkubali sana binti mmoja Mimi nikiwa form 6 yeye form 5 nikijaribu kumfuatilia mpaka nikafikia stage natumia gia ya kumfundisha physical geography ili nitumie hiyo opportunity but it was failed. Cha ajabu na kustaajabisha alikuja kuliwa na teacher wa field kutoka udom tena darasani kwenye meza. (Ikawa bonge la scandal but the good things it was well solved by head master.
Baada ya kufika chuo nikiwa second year naye akapangiwa hapo hapo bahati nzuri (God is not athuman) nikaendelea na procedures za kumfukuzia maana alikua anakaa in campus while I was stayed off campus.
Nikiwa kwenye hizo processes about 5-6 months nikasikia kapewa ujauzito na SHAROBARO waliyekua nae first year.
So sad
Mkuu acha tu.Una moyo
Wanaume ndio tatizo kuuTatizo ni wanaume wanaozaa nao.
Shemu unatafutwa kule ujueWanaume ndio tatizo kuu
Kwel mkuu,wamebaki kwa kustarehesha tu Wanaume na siyo kuolewaWanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
unaweza elezea zaidi kiundaniWanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
YapKwel mkuu,wamebaki kwa kustarehesha tu Wanaume na siyo kuolewa