Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,207
- 3,297
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku unakuta yaliyomo hayamo breki mbupu!
Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?
Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?