Hii imekaaje kitaalamu wakuu

Hii imekaaje kitaalamu wakuu

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,201
Reaction score
3,279
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku unakuta yaliyomo hayamo breki mbupu!

Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?
 
Dah yan mkitoka hapo ni kumchana tu uhalisia na tokea hapo una assume kama hamjawah onana yan humfahamu ata akikupigi unamuuliza samahan naongea na nani vile
 
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku unakuta yaliyomo hayamo breki mbupu!

Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?
Brake Mbupu
🤣🤣🤣
 
Bikra?? Labda uniambie kilichokuuma ni kudanganywa na si unajua sie wote waongo wake Kwa waume ,,hii generation hakuna bikra bro,,
Kama una approach Kwa njia ya pesa mwaga pesa ,,kama maelezo toa maelezo,,kama vitendo onyesha vitendo,,give it all,,unajilaum nn mzee ushamwaga zako bhana bikra ndo nn Kwan unataka mke??
 
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku unakuta yaliyomo hayamo breki mbupu!

Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?
Sii unakula ile bikra nyingine au nayo ulikuta breki pumbuz🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani unakutana na mwanamke unatumia nguvu kubwa kumpenda na kumshawishi mnaanza mapenzi ila kufanya sex anajifanya bikra unaamua kumpeleka hotel very expensive ili ufaidi bikra mwisho wa siku unakuta yaliyomo hayamo breki mbupu!

Ni hatua gani kama mwanaume inabidi uchukue ukizingatia umetumia gharama kubwa?
Kumbe KUNA washkaji washamba kiasi
hicho🤣🤣 Yani bikra mpaka ukaitolee hotel kubwa! Wakati wahuni tushazitoa ghetto bovu kitanda MKEKA au kwenye mijumba mibovu🤣🤣🏃🏃
 
Heshimu choice za watu za maisha mzee, na hizo bikra ulizozitolea getto si ulidhani demu ni andaki

Tukirudi kwa muandishi aisee chapa fimbo za matako huyo demu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom