Hii imekaaje jamani

Hii imekaaje jamani

That's y I said so..bt nt a bg deal.let t slide if u dnt mind. .
 
Toka siku ya kwanza mwanaume anagoma kurudisha kadi,

Kwanini asingeenda bank akasimamisha matumizi ya kadi??

Huyo mwanamke ni zoba la mwisho duniani.

Akasitisha transactions zote
 
mim fasta naenda kufunga akaunti nabadilisha no ya siri kwisha habar hivi kwanin wanawake wengne wanashindwa kushirikisha ubongo ktk swala nyeti kama hili?? ati mtu anakomba mshahara wangu woii !!!!!!
 
Huyo dada akome

Ila akome zaidi kwa kuwa ana akili ya kuiba waume za watu tu akili nyingine hana

Alishindwa kwenda kureport kuibiwa kadi? Alishindwa kwenda kublock benki?

Kweli ana akili zake zimeishia kutembea na waume za wenzie tu
 
Mie ningekua ndio mke wa jamaa (Mungu aepushe mbali) ningemtiririshaje huyo mwanamke?

Walivyopeana kadi na password mie nilikuwepo? Wasinishirikishe upuuzi wao aisee

Hlo nalo neno kwa upande wa pl wa sh
 
bwu ha ha ha ha.
hawez ktsha mahaba kienyej hvyo
 
Back
Top Bottom