Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
ahahaaaa gea anasema kaniprint
Asanteeee MankaM nmeipenda hyo....
ahahaaaa gea anasema kaniprint
Uspontangza mie ntakutangaza wewe
uswahili wa hivi siupendagi...
Unahs itansaidia nn??? Kmpango wako.nuna ikiwezekana pasuka bas
sijanuna
Inapendeza
naona ulipanic
AAgh wap bro
Binti nae mjinga, kuhusu mwanaume kumng'ang'ania kwanini asiende kumshtaki kwa mkewe?
Kuhusu kadi ya bank, mabenki hapa mjini yamejaa kibao kwanini asihamishie mshahara bank nyingine amwachie hiyo kadi, au aende bank awaambie wablock hiyo kadi imepotea then aprocess kadi mpya? Labda nae anataka kuhangaishana na huyu baba tu
my avatar suggests my gender
my avatar suggests my gender
Oops.sorry then
Inawezekana anatumia mchina!
Inawezekana anatumia mchina!
hahaha labda habari yako baba paroko
Sio avatar zote zinaendana na gender ya muhuska.