Hii imekaaje et!!!!!


Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,614
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,614 2,000
Good evening ladies and gents!!!

Naonmba kufahamishwa nafasi ya mzazi mwenza wa mupenzi, je ni ex wake au ni mke mwenza

nimeuliza ili nijue mipaka yangu, hivo basi kama hauna experience nakuomba ubaki mtizamaji kama mie hapa!!!!

Ni hayo tu.....:crazy:
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,803
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,803 2,000
kizungu ni ex wake

kiafrika ni mke mwenza...
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
ex's walozaa wanafungamana kama zito alivyofungamana na chadema.

Huwezi athiri kimoja bila kuathiri kingine.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
sio wote, wengine walizalishana wakatelekezana, usitegemee wawe na mahusiano mazuri.

Waloachana kwa nginjanginja huwa hawako karibu.

Tatizo linakuja kama ex alobaki yuko singo, kama naye kaoa ama kuolewa hawawi karibu sana.

Ila lazima wahusiane sababu ya mtoto

kwisha habari angu.....!
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,614
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,614 2,000
Nimekupata mamito
 
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
1,561
Points
1,195
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
1,561 1,195
mimi nijuavyo mara nyingi wanaozaa huwa hawaachani kama yule mwanamke hakuolewa baada ya kuachwa na huyo mwanaume, kwa sababu yule mwanaume atakuwa anakwenda pale kumuona mtoto, mara utasikia kazaa naye mtoto wa pili. Ila kwa wengine ili kuvunja kabisa hiyo hali wanachukuwa watoto na kukaa nao , hiyo inamfanya yule mwanaume asiwe na kisingizio cha kwenda kwa yule mzazi mwenzie.

Pia muwekane sawa jinsi atakavyokuwa anakuja kumtembelea mtoto ama aje home kwako au apelekewe amsalimu au aende shule .

Fanya hayo utakata mzizi wa fitina. Lakini ukiona mwanaume anakataa hayo , fikiria halafu chukua hatua.
 

Forum statistics

Threads 1,295,991
Members 498,495
Posts 31,230,032
Top