Hii Imekaa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Imekaa vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lengeri, Jul 27, 2010.

 1. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi anaingia garini nawe unang'oa mchuma. katika maongezi unagundua yupo customer care kwenye kampuni moja ya simu hapa mjini. unaomba date jioni bila matata unakubaliwa. Jioni unachomoka mzigoni unampitia mtoto huyo kiwanja flani mnapata dinner ya kiaina, stori na bia mbili tatu, anaomba ofa ya Mzalendo Pub kwa jide huna haraka unampleka mnasakata rumbha hadi mida flani anadai amechoka unachomoka nae hadi nyumba ya wageni unapiga mzigo hadi asubuhi, kumbuka hapo hujamtongoza hii imekaaje wadau!!!!!???
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha!
  so far ni CUSTOMER CARE.....!
  i expected the same
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Kafundishwa kujali wateja.
   
 4. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Pole mkuu, JINI hilo!!!!
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hivi kuna haja ya kuuliza imekaaje? Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hii imekaaje!
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Imekaa kimalayamalaya, huenda ni binti wa biashara we una ng'ang'ania ni customer care wa kampuni fulani ya simu hahaha....
   
 7. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kwa kuibuka na ngoma, usisahau kuandika wosia kwa familia yako..
   
 8. K

  Kamarada Senior Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu wew Vp, ishu umeitengeneza ww then unauliza ati imekaaje ! Nadhani vile ulivyo mkubalia kwa yote, naye akaona ni vema na haki akutunuku kwa ukarimu wako. Angechomoa ungetuambia kuwa amekuchuna, mind " ..kumnyima ntu penye kitu ninacho naona sambi sana..."
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pole sana....! Wote wawili ni wale tunaita 'samaki hapishi chambo'
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  How old are you????!!!!!!!!! We kutongoza unadhani ni kufanya kitu gani?????????
   
 11. j

  jasaiji Member

  #11
  Jul 27, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DDUUH naona mli practice Tangazo la vunja ukimya, Zali la mentali hilo
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  We ulitongozwa?! Hamjatulia wote..Tena mafagio ya jiji!!!
   
 13. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80  jamani si ni CUSTOMER CARE so amewajibika
   
 14. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,962
  Trophy Points: 280
  kaka hapo umekutana na changu aliye katika kivuli cha kampuni ya simu na amekupa mbunye baada ya kughalamia hizo out na kuna kitu hujaeleza ulimpa posho kiasi gani (kifulia chupi) mwisho wa siku
   
 16. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  wewe hebu punguza utamu nop ukali wa maneno hapo
   
 17. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Swali sahihi ni WEWE uliye ainishieti na kufanya naye haya Umekaaje??...:A S angry:...:A S angry:
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  heee leo umenipa raha, au anadhani kutongoza lazima i luv nyingiii....mbona mie ndo style ya kutongozwa niliyokuwa natongozwa nayo enzi hizo. kwanza mie mtu alikuwa akianza ohh nilikupendaga sana...ohhh unajua kimepanda kimeshuka hapo ndio mwisho wake, kaka ndio ustaarabu/utaratibu mzuri wa kutongoza kama hujui...kilichotofati ni hiyo mliyochomoka kirejareja hapo....vinginevyo hiyo date ndio mtongozo wenyewe.
   
 19. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kwani alipomshusha asubuhi na kumpitia jioni si aliiona ofisi yake au?!!!!!!!!
   
 20. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kakague kule juu. Yaani jamaa amenikumbusha mambo ya shule za msingi na sekondari kaaaaaaaazi kwelikweli.
   
Loading...