kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 17, 2015 #1 Mnisaidie lengo nini hasa.....?
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Mar 17, 2015 #2 Hao wamechanganyikiwa,sasa hivi ni mwendo wa mafisi na mambwa tu.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 17, 2015 #3 Ni kafara? Au ni mkwara? Watu wana vituko sana
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Mar 17, 2015 #4 Ngoja yanga na sisiem waje wanaweza kutuelewesha.
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,910 Mar 17, 2015 #5 Kuza hiyo picha kuna tshert inapicha ya mkuu swissme
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Mar 17, 2015 #6 HARUFU said: Ni kafara? Au ni mkwara? Watu wana vituko sana Click to expand... lengo liwe kundi kubwa
HARUFU said: Ni kafara? Au ni mkwara? Watu wana vituko sana Click to expand... lengo liwe kundi kubwa
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Mar 17, 2015 #7 wana wapa wapiga kura wanachotaka, maburudisho ya kuwaonyesha wanyama, muziki nk badala ya majadiliano na kufahamu sera za vyama vinavyogombea uchaguzi.
wana wapa wapiga kura wanachotaka, maburudisho ya kuwaonyesha wanyama, muziki nk badala ya majadiliano na kufahamu sera za vyama vinavyogombea uchaguzi.