Mkuu sidhani kama inawezekana. Kwenye kadi ya gari inaandikishwa Chassis number na Engine number. Sasa haitawezekana kabisa hivyo vitu viandikwe sehemu mbili.
Umbea huo wewe nini kimekuwasha na kuleta uzi uku..je kama alinunua cheses??wewe watu na madili yao unakuja kuyatibua Chicago unapigwa bullet baa adharani.
Kitaalamu na kisheria haiwezekani lakini usisahau TZ mgonjwa wa kichwa anafanyiwa operation ya mguu mkuu!Mkuu sidhani kama inawezekana. Kwenye kadi ya gari inaandikishwa Chassis number na Engine number. Sasa haitawezekana kabisa hivyo vitu viandikwe sehemu mbili.
Ungeweka wazi, kwa kutanabaisha namba ya awali na namba ya sasa, ingesaidia sana kuelewa ukweli ukoje? Vinginevyo kuwa msamaria mwema kwa kupeleka taarifa TRA ili waweze kufatilia.Hakika.Asilimia 100 ni gari ya rafiki yangu.siongelei hadithi hapa.mimi nilidhani haya yangefanyika katika uongozi uliopita kumbe sasa .
uko tayari kutoa ushahidiHakika.Asilimia 100 ni gari ya rafiki yangu.siongelei hadithi hapa.mimi nilidhani haya yangefanyika katika uongozi uliopita kumbe sasa .
Hiyo kadi ya gari no D sio ya kutoka Tra, ni kadi za kutengeneza mtaani, ukiweza kutengeza kadi ya gari ya kugushi kutengeneza plate number mpya number D hushindwi, hilo ni bomu litalipuka mtu akienda kurenew road licenceHakika hii imenistua kidogo au ni ushamba wangu?. Jamaa yangu alikuwa na gari 'chakavu' namba A sasa sijui kafanyaje kaende TRA eti kafanya mbinu na kubadilishiwa na kupewa namba D kisha amelipiga rangi sasa liko sokonoi 'jipya' kabisa.
Hii ikoje? naomba mwenye uelewa
Wewe ni Kinehe MagesaHta hko tra kna bnadam so kila kitu knawezkana, tahadhari: kwa wanaoshobokea kununua gar kwa mtu et sababu kaambiw namba D, kwan namba D ndo uzima wa gari
Si anasema hiyo namba imepatikana huko huko TRA?Ungeweka wazi, kwa kutanabaisha namba ya awali na namba ya sasa, ingesaidia sana kuelewa ukweli ukoje? Vinginevyo kuwa msamaria mwema kwa kupeleka taarifa TRA ili waweze kufatilia.
Ameweka "..."Gari imekuwa brand new