Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,598
- 6,594
Tunamalizia likizo mkuu😂Huu utoto sasa
Tena utoto kweliHuu utoto sasa
Naam mkuu bado siku 3 tuTunamalizia likizo mkuu😂
Uliza mkuuNikuulize kitu
Fanya tujiandae kurudi shuleNaam mkuu bado siku 3 tu
Upo sahihi mkuuSaikolojia mwanamke akikupenda basi kapoteza control kabisa yaani kafa kaoza kabisa hajiamini juu yako kabisa,kingine utagundua hata kuongea na wewe anakuwa na aibu anajihisi kama hanukii vizuri mbele yako ,mara kucheka cheka na kuziba mdogo .
Ukimtongoza ndo kabisa anapoteza confidence kabisa.
KwelI mkuu nishanunua na sare za shule kabisaFanya tujiandae kurudi shule
Kaka hao niliyowahi kuwashuhudia wakifanya hv ni watu wazima kabisa wengine single motherHiyo ni kwa wavulana na wasichana, kwa watu wazima haipo hivyo. Ni kuambizana ukweli tu mkikubaliana mnaenda kumalizana msipokubaliana inabaki hivyo tu
Sawa mkuuKula kimasihara
Wewe ndio umeongea kitu mkuu ahsante sanaSaikolojia mwanamke akikupenda basi kapoteza control kabisa yaani kafa kaoza kabisa hajiamini juu yako kabisa,kingine utagundua hata kuongea na wewe anakuwa na aibu anajihisi kama hanukii vizuri mbele yako ,mara kucheka cheka na kuziba mdogo .
Ukimtongoza ndo kabisa anapoteza confidence kabisa.