Hii HTC inauzwaje wadau?

Hii HTC inauzwaje wadau?

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,808
2Q==
 
Kwa yeyote anaejua wadau hiyo HTC hapo inauzwaje dukani? Please help if you know
Na kama unayo unajua matumizi yake matatizo na manufaa naomba mwongozo. Nadhani nimeeleweka
 
htc_2289170b.jpghtc_2289170b.jpghii hapa kama haikuonekana kwenye first message
 
kwa kuangalia hio button ya fb hio ni htc salsa, simu fulani ya htc ambayo imefeli sababu ya kua ovepriced kama ilivo htc first yenye fb home. processor 800mhz, ram 512, betry na camera mbovu na bei ni around laki 3 au zaidi
 
Back
Top Bottom