Hii Highway iko nchini Norway

Kwahiyo Dr Slaa anatumia hizo highways kila siku

Matunda ya Serikali ya awamu ya tano😀😀
 
Hili daraja linaitwa Golden Gate liko California, upana wake ni maili moja. Linaunganisha San Francisco Bay na bahari ya Pacific

 
Hii Highway ingependeza Jangwani, watu wanapita juu kwa juu.
 
Kuna lile daraja la japani
Ambayo watu wamelibatiza jina la roller coaster bridge
 
Katika viumbe vyote vilivyoumbwa, binadamu kaumbika kuliko vyote, amepewa AKILI, UJUZI na MAARIFA kuliko viumbe vingine viishivyo duniani.

Kasoro tu watu weusi ndio hawajajaliwa maarifa kama haya, wameumbwa kutawaliwa kisha kuiga walivyofanya weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…