Hii hatarii!

Hii hatarii!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1443265244.258761.jpg
 
Kwa binadamu mwenye busara wala huwezi kudhihaki marehemu mane no/kauli kama hizo binadamu huongea sana ktk mazingira tofauti name inapotokea huwezi judge kwa kauli yake
 
Binadamu hua anaendelea kuishi spiritually baada ya kifo,sasa ukimsema marehemu inaweza ile roho ikakuzuru bila wewe kujua
 
ni kauli za wakosa sera wa ccm tu. Hakuna mwingine awezaye kutamka hayo maneno . Kuya tamka tu ni laana tiyari hiyo
 
Heh, huu muujiza! Hivi Celina Kombani aliwahi tamka vibaya hivyo!? Kama ni kweli inasikitisha.
 
Hiyo imani potofu kabisa.

Sikulazimishi kuamini,ila nikuambie mimi hua na waonata watu walikokufa mara kwa mara na hua wakijua nawaona hua wanakimbia ama kupotea ghafla...ila kuongea nao hua siwez kwan mda wote hua wamefunga vinywa vyao na hua wanaonekana na uzuni
Pia wanatembea kuelekea upepo unapoelekea...
 
Aiseee!!!
 
mmmh!ni kweli hilo Fassouls kuhusu kuwaona wapendwa waliokufa????
 
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU kwani yeye ndiye pekee anayejua nani atakufa lini na kwa njia ipi
 
Back
Top Bottom