Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Kuna harusi hapa nahudhuria ya dhehebu fulani, yaan full mipombe na miziki ya kusifu uibirisi tuuu. Nashindwa kuitofautisha na kukaa bar, maana baadhi ya wahudhuriaji wamevaa hovyoo, nyimbo ni zile za mabar n.k. Hapa nikalale zangu tu home, hakuna baraka hapa.
Ndugu zangu, ndoa ni tendo takatifu. Kushadadia pombe na miziki ya kidunia ni kuchafua baraka mlizopata kanisani. Sishauri pombe na malimwengu ktk sherehe za ndoa.
Wasalaam
Ndugu zangu, ndoa ni tendo takatifu. Kushadadia pombe na miziki ya kidunia ni kuchafua baraka mlizopata kanisani. Sishauri pombe na malimwengu ktk sherehe za ndoa.
Wasalaam