Hii hapa mikoa inayotegemewa na TRA kwa mapato ya Kodi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini.
👇👇

1.Dar =14.8T

2.Arusha=743.45bln

3.Kilimanjaro =330.84bln

4.Tanga =325.55bln

5.Songwe=239.7bln

6.Mtwara=237.8bln

7.Mwanza =213.88bln

8.Dodoma =205.82bln

9.Kagera =199.5bln

10.Mara =195.38bln

11.Mbeya =131.22bln

12.Morogoro=117.33

13.Pwani =115.7bln

My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.

Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.

Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.

Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.

Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
 
Attachments

Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini 👇👇

1.Dar =14.8T

2.743.45bln

3.Kilimanjaro =330.84bln

4.Tanga =325.55bln

5.Songwe=239.7bln

6.Mtwara=237.8bln

7.Mwanza =213.88bln

8.Dodoma =205.82bln

9.Kagera =199.5bln

10.Mara =195.38bln

11.Mbeya =131.22bln

12.Pwani =115.7bln

13.Morogoro =117.33bln

Kuna mikoa inaoneww. Kwa mfano kiwanda Cha Ilovo kipo Moro ila faili lipo dar, the same kwa dhahabu zichimbwazo Geita na Shinyanga. Wote hao wanapelekwa large taxpayer. Lazima dar ionekane champion. Hata wafanyakazi wa mashirika makubwa return zao zinahesabiwa zipo dar. So hiyo statistics Ina scew kwa dar mno.
 
Ndio maana nikasema ni vyema TRA ikaanzisha madawati ya qalipakodi wakubwa huko huko mikoani.

Takwimu za Kodi hazitoi picha halisi ya mchango wa Kila Mkoa sana sana inaendelea Dar.

Picha halisi ya mchango wa Mkoa kwenye Uchumi ni Kupitia GDP.
 
Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini 👇👇

1.Dar =14.8T

2.743.45bln

3.Kilimanjaro =330.84bln

4.Tanga =325.55bln

5.Songwe=239.7bln

6.Mtwara=237.8bln

7.Mwanza =213.88bln

8.Dodoma =205.82bln

9.Kagera =199.5bln

10.Mara =195.38bln

11.Mbeya =131.22bln

12.Pwani =115.7bln

13.Morogoro =117.33bln

My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.

Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.

Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.

Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.

Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
Cc Mikdde naona awamu hii Mwanza imejitutumua kidogo mbele ya Dom lakini imepitiwa na Mtwara 😁😁😁😁

Ukigeuka Nchale ukisogea Nchale
 
Kwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usio rasmi.
 
Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini 👇👇

1.Dar =14.8T

2.743.45bln

3.Kilimanjaro =330.84bln

4.Tanga =325.55bln

5.Songwe=239.7bln

6.Mtwara=237.8bln

7.Mwanza =213.88bln

8.Dodoma =205.82bln

9.Kagera =199.5bln

10.Mara =195.38bln

11.Mbeya =131.22bln

12.Pwani =115.7bln

13.Morogoro =117.33bln

My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.

Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.

Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.

Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.

Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
We ngedere huo ujinga unakusaidia nini, hiyo Arusha yenyewe iko wapi, we ni mchaga Kilimanjaro ina mapato gani acha kujitengenezea upuuzi
 
Kwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usio rasmi.
Hiyo Mikoa Haina border posts Wala Bandari za maana ndio maana unaona haiko vizuri zaidi kwenye Mapato ya TRA.

Hata hivyo Mapato kwenye vyanzo vingine wanachangia sana mfano kwenye Madini Mbeya Iko top 3.
 
Kwasababu sio taarifa rasmi basi kwa ushauri usio rasmi MIKOA YA MWANZA,DODOMA NA MBEYA wajitafakari kwanini wanazidiwa na SONGWE? Halafu mtoa mada uletuletee majibu tena yasio rasmi.nihayo tu vinginevyo kutakuwa na upigaji usiasmi.
Yaani tukae tunajadili kitu ambacho siyo rasmi cha kuokoteza okoteza
 
Ndio maana nikasema ni vyema TRA ikaanzisha madawati ya qalipakodi wakubwa huko huko mikoani.

Takwimu za Kodi hazitoi picha halisi ya mchango wa Kila Mkoa sana sana inaendelea Dar.

Picha halisi ya mchango wa Mkoa kwenye Uchumi ni Kupitia GDP.
Hizi ni takwimu za kujifurahisha tu, hazina maana kwasababu TZ siyo serikali za majimbo.
 
Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini.
👇👇

1.Dar =14.8T

2.743.45bln

3.Kilimanjaro =330.84bln

4.Tanga =325.55bln

5.Songwe=239.7bln

6.Mtwara=237.8bln

7.Mwanza =213.88bln

8.Dodoma =205.82bln

9.Kagera =199.5bln

10.Mara =195.38bln

11.Mbeya =131.22bln

12.Pwani =115.7bln

13.Morogoro =117.33bln

My Take
Baadhi ya Mapato mfano ya TANAPA na TAWA hayajajumuishwa Kwa sababu yamekusanywa kwenye hifadhi zote Tanzania hivyo rekodi za Kila hifadhi kwa Kila Mkoa haipo.

Aidha Mapato ya Arusha yemejumuishwa na Mapato ya mamlaka ya hifadhi Ngorongoro Kwa sababu Iko Arusha.

Mwisho orodha hii sio rasmi Bali ni Kwa Ajili ya discussion tuu ya hapa JF Kwa sababu haitoi picha halisi maana Walipaji Wakubwa wa Kodi hulipia Dar licha ya kwamba miamala imefanyika Nchi nzima mfano Banks,Migodi kama GGM ,Viwanda vya Bia ,Soda nk.

Ushauri.
TRA inaweza anzisha.madawati ya Walipaji Wakubwa wa Kodi huko huko mikoani badala ya Kila kitu kufanyika Dar.

Disclaimer: Huu ni uchambuzi binafsi kutoka kwenye takwimu za Kodi za 2024/25 na sio rasmi.
No 2 weka jina, ipo tupu.
 
Back
Top Bottom