Hii hapa jinsi ya kuweka window kwa kutumia flash

Mimi mara nyingi huwa situmii software yoyote kucreate bootable usb.
Ninachofannya kama ni dvd naicopy kwenye flash kikawaida tu na kama ni Iso image naextract then nakopy files kwenye flash.
Cha muhimu ni kuiformat flash yako katika format ya NTFS.
 
I waited someone to comment like this
 
Habari wana jf, naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza kuhamisha window kutoka kwenye DVD kwenda kwenye flash.
Nataka nitumie kutoka kwenye flash
 
Tafta thread ipo hapa long time, it is very usefull utainjoy yani
 
Back
Top Bottom