Hii hapa Dawa ya Panya Road

Hii hapa Dawa ya Panya Road

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Taarifa ya habari juzi kamanda wa polisi amethibitisha kukamatwa vijana 12 ikiwa ni sehemu ya panya road 30 waliofanya uhalifu huko Chanika

Kwa bahati nzuri hawa wahalifu wamekiri kuhusika na uhalifu wote

Tukiendelea na mfumo tulionao wa kuanza kupelekana mahakamani miezi nenda rudi mara dhamana haya kaenda karudi matukio ya uhalifu hayatokuja kuisha nchini!

Juzi tumepoteza askari wetu watiifu huko Mwanza kwa ajali wakiwa wanasafirisha wahalifu sugu tena hatari,wapumzike kwa amani askari wale.

Nini kifanyike ukishawapata wahalifu kama hawa

Wanapelekwa sehemu ya wazi ya umma mfano Pale Mwembe yanga wanapandishwa juu ya kama stage waandishi wa habari na wananchi wakishuhudia wanamiminiwa risasi za moto,then wanashushwa na kwenda kuzikwa na jiji, hiyo ni kimya kimya hakuna kuongea ikitokea sehemu nyingine hivyo hivyo kamata watano watataja wenzao zoezi lilelile.

Hapo matukio ya uhalifu hasa haya ya mob itakuwa story lakini kama wanaona maisha ni kawaida tu nikiwekwa ndani siku ikifika nitatoka aisee hawakomi hawa!

Kwa tulioishi nchi za gulf arabuni tutakuwa mashahidi, kule hakuna kusikia mwizi huyo..
Mwizi huyo..
Kuna nchi nimeishi huko unaweza enda likizo ukaacha nyumba yako wazi na ukirudi baada ya mwezi au zaidi utakuta vumbi tu ndani au labda paka aingie lakini kila kitu utakuta salama.

Sasa nenda wewe kaibe au ufanye mauaji kule

Hapa kwetu hususan mwaka huu kila siku news unasikia mtu kaua kakamatwa tena na ushahidi kabisa!lakini basi husikii kingine zaidi ya kusikia anapelekwa mahakamani! Hawa wauaji kwa wenzetu huko hawavuki siku 7 anakua keshapotezwa nae hii inasaidia kwa wengine kuogopa kutenda jambo la kuua

Mfano nilisikia mwezi jana kuna mtu huko shinyanga kaua mke wake kwa kumkatakata mapanga na kutenganisha viungo!

Ikasemekana huyu muuaji pia miaka ya nyuma alisha muua mama yake mzazi lakini akahukumiwa kwa kuua bila kukusudia!akafungwa miaka minne sijui. Sasa alivyomaliza kifungo amekaa na familia yake na mwisho wa siku kaua mke! Imagine mtu yule yule!

Hivyo hawa panya road na wauaji ni wa kuwa miminia bullets tu itakua mwisho wao.

Oneni Korea huko kuna waziri wa ulinzi yeye alisinzia tu wakati Rais akihutubia kikaoni, lyule alipigwa kombora akafariki!
 
Taarifa ya habari juzi kamanda wa polisi amethibitisha kukamatwa vijana 12 ikiwa ni sehemu ya panya road 30 waliofanya uhalifu huko chanika
Kwa bahati nzuri hawa wahalifu wamekiri kuhusika na uhalifu wote

Tukiendelea na mfumo tulionao wa kuanza kupelekana mahakamani miezi nenda rudi mara dhamana haya kaenda karudi matukio ya uhalifu hayatokuja kuisha nchini!
Juzi tumepoteza askari wetu watiifu huko mwanza kwa ajali wakiwa wanasafirisha wahalifu sugu tena hatari,wapumzike kwa amani askari wale.

Nini kifanyike ukishawapata wahalifu kama hawa

Wanapelekwa sehemu ya wazi ya umma mfano Pale Mwembe yanga wanapandishwa juu ya kama stage waandishi wa habari na wananchi wakishuhudia wanamiminiwa risasi za moto,then wanashushwa na kwenda kuzikwa na jiji...hiyo ni kimya kimya hakuna kuongea.....ikitokea sehemu nyingine hivyo hivyo kamata watano watataja wenzao zoezi lilelile..
Hapo matukio ya uhalifu hasa haya ya mob itakua story
Lakini kama wanaona maisha ni kawaida tu nikiwekwa ndani siku ikifika nitatoka aisee hawakomi hawa!

Kwa tulioishi nchi za gulf arabuni tutakua mashahidi...kule hakuna kusikia mwizi huyo..
Mwizi huyo..
Kuna nchi nimeishi huko unaweza enda likizo ukaacha nyumba yako wazi na ukirudi baada ya mwezi au zaidi utakuta vumbi tu ndani au labda paka aingie lakini kila kitu utakuta salama..
Sasa nenda wewe kaibe au ufanye mauaji kule

Hapa kwetu hususan mwaka huu kila siku news unasikia mtu kaua kakamatwa tena na ushahidi kabisa!lakini basi husikii kingine zaidi ya kusikia anapelekwa mahakamani! Hawa wauaji kwa wenzetu huko hawavuki siku 7 anakua keshapotezwa nae hii inasaidia kwa wengine kuogopa kutenda jambo la kuua

Mfano nilisikia mwezi jana kuna mtu huko shinyanga kaua mke wake kwa kumkatakata mapanga na kutenganisha viungo!
Ikasemekana huyu muuaji pia miaka ya nyuma alisha muua mama yake mzazi lakini akahukumiwa kwa kuua bila kukusudia!akafungwa miaka minne cjui...sasa alivyomaliza kifungo amekaa na familia yake na mwisho wa siku kaua mke!mtu yule yule!

Hivyo hawa panya road na wauaji ni wa kuwa miminia bullets tu itakua mwisho wao!
Oneni Korea huko kuna waziri wa ulinzi yeye alisinzia tu wakati rais akihutubia kikaoni...yule alipigwa kombora akafariki!
Huwezi waamini polisi kiasi hicho.
Sio kila anayekamatwa na kutuhumiwa kuwa ni mhalifu, ni kweli ni mhalifu.
Hata wengine wanaweza mpaka kutiwa hatiani na mahakama kwa ushahidi wa magumashi lakini kiukweli hawana hatia.

Sasa ukiua watu wa hivyo halafu baadaye ukaja fahamu kuwa walikuwa sio wahalifu, utajiskiaje?
 
Bullets ndio njia sahihi na ya haki ya kudeal na watu wapumbavu kwenye Jamii. Afrika kusini na USA hata Rwanda wametumia Sana njia hii, ukikamatwa unataja group lako ni msako wa bullets. Enzi za Magu hata vibaka mtaani walikuwa wakisema hii serikali unapotea hii, angalau walipunguza yamerudi tena sababu hawa answari suna wameshika madaraka. Hawa watoto ilitakiwa kuwarudisha kuzimu kwa baba lusifa wakamsaidie shetani kazi na sio kuwapeleka police wakatokee mahakamani kwa ukosefu wa ushahidi.
 
Wakishindwa Jamii ijifunze kutengeneza mabomu ya mafuta ya taa na utambi wapigwe ambush pande tano kwa pamoja wale mabomu Ili police waje kuchukua mizoga. Awatorudi tena mtaa huo, hawa wapumbavu usumbua mitaa dhaifu na wakijua Jamii haina umoja watakusumbueni sana
 
Huwezi waamini polisi kiasi hicho.
Sio kila anayekamatwa na kutuhumiwa kuwa ni mhalifu, ni kweli ni mhalifu.
Hata wengine wanaweza mpaka kutiwa hatiani na mahakama kwa ushahidi wa magumashi lakini kiukweli hawana hatia.

Sasa ukiua watu wa hivyo halafu baadaye ukaja fahamu kuwa walikuwa sio wahalifu, utajiskiaje?
Wahalifu ujulikana maana huwa ni kundi sasa kama mmewatawanya mkawakamata wachache waliokuwa kwenye group utasemaje sio wahalifu
 
Kamanda Wambura alikaa ofisini ndani ya muda mfupi kama RPC wa Dar lakini alichokifanya mpaka leo tunamkumbuka, kuna majambazi fulani walikuwa wamestaafu lakini chini ya kapeti walikuwa wanaendeleza ujambazi, jamaa walifuatwa na difenda 3 mida ya usiku wakakamatwa wakaenda kupigwa risasi ndugu wakachukua maiti na kwenda kuzika
 
Huwezi waamini polisi kiasi hicho.
Sio kila anayekamatwa na kutuhumiwa kuwa ni mhalifu, ni kweli ni mhalifu.
Hata wengine wanaweza mpaka kutiwa hatiani na mahakama kwa ushahidi wa magumashi lakini kiukweli hawana hatia.

Sasa ukiua watu wa hivyo halafu baadaye ukaja fahamu kuwa walikuwa sio wahalifu, utajiskiaje?
Yawezekana usemalo lakini hapa naongelea watu au mtu aliyekamatwa live kabisa au aliyekiri mwenyewe kuhusika
Huku kwetu kijichi walikuwepogo wale vishandu (vibaka wa kutumia bodaboda)wakapora pora na kujeruhi wananchi watu wakawalia timing walichomwa moto kama wawili hivi sasa hivi shwari amani tu
 
Kuna mashirika yanasimamia haki za binadamu na Tanzania ni mwanachama huko. Kupiga risasi hadharani, vikwazo vya kimataifa vitafuata
Hao wazee kimataifa wenyewe ndio wanaoua maelfu ya wasio na hatia huko Iraq, Afghanistan, ukrain n.k na hakuna wa kuwawajibisha, Mungu atahukumu mengi siku hiyo
 
Back
Top Bottom