BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,165
😂😂😂 Watz bhana sijui tukoje mi pia nilikuwa kama huyu jamaaAcha haraka ya maisha,kaa kwenu,piga kazi ukipata demu mzuri hamia kwake ukiona anafaa kuoa oa kabisa.Unafikiri kulipa kodi ya nyumba ndo kuanza maisha?
Mtu uko kwa wazazi wako unafikiri wanaopanga yumba wanaenjoi halafu ukija kitaa kukibana unarudi kusumbua wazazi.Ondoka kwa wazazi ukioa ama ukijenga kwako au kama unahama eneo.Pembeni ya hapo ni ushamba tu😂😂😂 Watz bhana sijui tukoje mi pia nilikuwa kama huyu jamaa
Jitahidi ndugu...!!ilikuw inawezkana kukaa free ila nnatafuta...!!Oh yeah...
I see a mama's boy anatomboka tu!
Acha haraka ya maisha,kaa kwenu,piga kazi ukipata demu mzuri hamia kwake ukiona anafaa kuoa oa kabisa.Unafikiri kulipa kodi ya nyumba ndo kuanza maisha?
kuza biashara hiyo, kuza biashara, kuza biashara mpaka iseme basi... mambo ya kupanga tuachie tuliokulia mikoani... hatuna home hapa dar.. na hatuna biashara za kuzikuza
Mtu uko kwa wazazi wako unafikiri wanaopanga yumba wanaenjoi halafu ukija kitaa kukibana unarudi kusumbua wazazi.Ondoka kwa wazazi ukioa ama ukijenga kwako au kama unahama eneo.Pembeni ya hapo ni ushamba tu
Mkuu usitoke nyumbani hapo.
Tafuta uwanja na anza kujenga taratibu ikiws nyumbani.
Sio lazima na wala sio sifa kwenda kutafta gharama zisizo sababu kupanga,wanaopanga alafu wana sehemu za kukaa ni wale ambao wanastarehe zao mbaya hawataki wazee wawaone.
Mimi ningekuwa niliponaksa ns wazazi basi ningeendelea kukaa na wazee mpaka ningejenga ..usitoke nyumbani mkuu,vinginevyo ukihisi unabanwa.
Hauna haja hiyo mkuu,baki home tengeneza maisha taratibu tu.ndugu zako ishi nao vizuri kazi ziende.Thanks mkuu...siku ya leo nmejifunza kitu kkubwa sana kwenu...!!nahic kinachonizuia ni hyo kwenda kumwaga hela kibao kwa mwenye nyumba...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen ndugu....nilijua tu huku hakukosekani kituHauna haja hiyo mkuu,baki home tengeneza maisha taratibu tu.ndugu zako ishi nao vizuri kazi ziende.
Maisha mema
We mtoto wa kiume bhana Ukitaka kuyajua Maisha Move MoVe sio Home Tu we Move anyways namaanisha Kukaa nyumbani Waachie Dada zako ambao hawajaolewa.
Unafikiri Baba yako hana kwao Acha ujinga wa Kuzoea KKK
me nakuasa Ondoka kwenu uwapishe na wadogo zako wakue unabana nafasi za wenzako kujijenga kimaisha
Tangu mwaka jana mwez wa 8 nilidhamiria kutoka maisha ya home na kwenda kupanga....!!maana nilihisi itakuwa vizuri zaidi kwa mimi kupanga mipango ya maisha....lkn pia ni kwakuwa ni mwanzo wa safari yangu ya maisha....nina miaka 24
Ninafanya biashara ya duka....pia nna channel zingine za kuingza pesa mbali na hili duka...so hua nikikusanya nlchokipata angalau kinakidh mahitaji
Hela naipata....but kila nikipanga kuanza kutafta chumba tu....!!ile nikiamka kesho yake hela yote nanunulia bidhaa dukani...nimeghairisha huu mpango tangu mwezi wa 8 mpk sasa....!!
Nashukuru Mungu duka linakua kweli...limepiga hatua kubwa saaana....!!
Lakini naomba kujua hii hali ya kughairisha huu mpango na kuiweka hela ya kodi na gharama zote za kupanga dukan inatokana na nn??(uoga wa kupanga au uoga a kufilisika?)
Na hapo sio kama sijanunua kitu chochte
.jiko la gesi,sofa,kitanda,trays za vyombo,sabufa,na vyombo vyte vya kupikia nshanunua tyr
Nini tatzo...???...naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndo mdogo ndugu....ila ushauri wako pia nauchukua....umeongea kiume
Sent using Jamii Forums mobile app