Hii hali ni uoga wa maisha au uoga wa kufirisika??


Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
12,387
Likes
15,672
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
12,387 15,672 280
Usipange ndugu yangu kama nyumbani kwenu hawakubani naupo huru, me nilipanga ila nilipopanga2 demu akanitegea mimba ila nahisi ningekuwa home asingenifanyia ujinga huo naalifanya hivyo kwakujua geto ninalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kwahio ushakuwa dingi mtarajiwa mzee baba. Mi kanuni yangu ni moja, simwagi maanii zangu ukeni kwa mwanamke ambae sipo tayari kuishi nae. Zitafyatukia kokote ila lazma iwe nje ya uke!
Hivyo madhila kama hayo siwezi kuyapata tena, ilishantokeaga mara moja kisha nilijifunza!
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
12,387
Likes
15,672
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
12,387 15,672 280
Influence kubwa ya kupanga ni mademu/demu kuwa na Uhuru nae hill naona mnalikwepa bila kupepesa hiyo ndio influence kubwa ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni wote wanajua hili, na huu mchezo ni toka vyuoni watu wanao ila wamekula kobis humu. Kama huna tabia za kupenda vitobo home una settle freshi tu hadi ukioa.
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
939
Likes
659
Points
180
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
939 659 180
Ila ukiwa kwako unakuwa huru sana
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
281
Likes
421
Points
80
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
281 421 80
Wahuni wote wanajua hili, na huu mchezo ni toka vyuoni watu wanao ila wamekula kobis humu. Kama huna tabia za kupenda vitobo home una settle freshi tu hadi ukioa.
Tatzo huwez amin sijafikiria mwanamke katika kupanga....naamin km nikipanga biashara n mimi wte ttafaidika.....nikiwa mwenyew rum bila disturbance hua nnabuni vtu vng mno....ht hii biashara inaendelea kwa channels nlzobun nlpokua geto chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,748
Likes
8,152
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,748 8,152 280
Kwanini uwaze kuhama na kukodisha chumba wakati uko peke yako?
Kama unapata faida na kuendeleza biashara yako na faida unapata, nakushauri endelea kukaa kwenu na jiwekee hela ili ujenge nyumba yako badala ya kwenda kukodi na gharama zisizo na faida kwako.

Hujafukuzwa kwenu sasa unaenda panga ila umlipe landlord bora umpe mama yako

Sent from my SM using Tapatalk
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,268
Likes
1,811
Points
280
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,268 1,811 280
Mi nakushauri uanze kupanga hapohapo nyumbani kwenu.
Cha kufanya ingia mkataba na mdingi au bi mkubwa then mlipe kodi yake ya miezi 6 au mwaka.
Maana kupanga ni kuchagua.

Maendeleo hayana chama
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
1,981
Likes
1,991
Points
280
Age
25
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
1,981 1,991 280
Hahah kwahio ushakuwa dingi mtarajiwa mzee baba. Mi kanuni yangu ni moja, simwagi maanii zangu ukeni kwa mwanamke ambae sipo tayari kuishi nae. Zitafyatukia kokote ila lazma iwe nje ya uke!
Hivyo madhila kama hayo siwezi kuyapata tena, ilishantokeaga mara moja kisha nilijifunza!
Hongera mkuu, sisi wengine tukishalazwa vifuani akili zakichwa kikubwa huwa zinaturuka zinabaki zinafanya kazi akili zakichwa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
13,332
Likes
28,313
Points
280
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
13,332 28,313 280
Hahah kwahio ushakuwa dingi mtarajiwa mzee baba. Mi kanuni yangu ni moja, simwagi maanii zangu ukeni kwa mwanamke ambae sipo tayari kuishi nae. Zitafyatukia kokote ila lazma iwe nje ya uke!
Hivyo madhila kama hayo siwezi kuyapata tena, ilishantokeaga mara moja kisha nilijifunza!
Sijui kwann nimecheka...hahahah

Aisee!!!
 
kamarah1320

kamarah1320

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Messages
284
Likes
236
Points
60
kamarah1320

kamarah1320

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2018
284 236 60
Tangu mwaka jana mwez wa 8 nilidhamiria kutoka maisha ya home na kwenda kupanga....!!maana nilihisi itakuwa vizuri zaidi kwa mimi kupanga mipango ya maisha....lkn pia ni kwakuwa ni mwanzo wa safari yangu ya maisha....nina miaka 24

Ninafanya biashara ya duka....pia nna channel zingine za kuingza pesa mbali na hili duka...so hua nikikusanya nlchokipata angalau kinakidh mahitaji

Hela naipata....but kila nikipanga kuanza kutafta chumba tu....!!ile nikiamka kesho yake hela yote nanunulia bidhaa dukani...nimeghairisha huu mpango tangu mwezi wa 8 mpk sasa....!!

Nashukuru Mungu duka linakua kweli...limepiga hatua kubwa saaana....!!

Lakini naomba kujua hii hali ya kughairisha huu mpango na kuiweka hela ya kodi na gharama zote za kupanga dukan inatokana na nn??(uoga wa kupanga au uoga a kufilisika?)

Na hapo sio kama sijanunua kitu chochte
.jiko la gesi,sofa,kitanda,trays za vyombo,sabufa,na vyombo vyte vya kupikia nshanunua tyr

Nini tatzo...???...naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
kama hakuna shida home ucpange tulia kwanza mambo ya kiset hama ila mie nimeanza kupanga nikiwa na miaka19 na issue ilikuwa ni masomo na sehem nilipo kuwa na pig mishe so nikaona bora nipange ili niw karib na hzo sehem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,472
Likes
1,087
Points
280
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,472 1,087 280
Kwa age hiyo na unachofanya uko sahihi.

Hizo gharama za kupanga achana nazo, wekeza kwenye kukuza biashara, ukipata kiwanja nunua.

Unaweza baada ya muda kuanza kujenga taratibu, hata nyumba ndogo ya vyumba viwili ukahamia.

Mungu akikupa Neema zaidi kuna siku utajenga kubwa zaidi.

Hakuna sababu ya kupanga kama una pa kukaa na hubanwi.

Safuha kazungumza sahihi.
unamponza...atazeekea home
 

Forum statistics

Threads 1,272,734
Members 490,139
Posts 30,459,396