Hii hali ni uoga wa maisha au uoga wa kufirisika??

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
749
1,000
Tangu mwaka jana mwez wa 8 nilidhamiria kutoka maisha ya home na kwenda kupanga....!!maana nilihisi itakuwa vizuri zaidi kwa mimi kupanga mipango ya maisha....lkn pia ni kwakuwa ni mwanzo wa safari yangu ya maisha....nina miaka 24

Ninafanya biashara ya duka....pia nna channel zingine za kuingza pesa mbali na hili duka...so hua nikikusanya nlchokipata angalau kinakidh mahitaji

Hela naipata....but kila nikipanga kuanza kutafta chumba tu....!!ile nikiamka kesho yake hela yote nanunulia bidhaa dukani...nimeghairisha huu mpango tangu mwezi wa 8 mpk sasa....!!

Nashukuru Mungu duka linakua kweli...limepiga hatua kubwa saaana....!!

Lakini naomba kujua hii hali ya kughairisha huu mpango na kuiweka hela ya kodi na gharama zote za kupanga dukan inatokana na nn??(uoga wa kupanga au uoga a kufilisika?)

Na hapo sio kama sijanunua kitu chochte
.jiko la gesi,sofa,kitanda,trays za vyombo,sabufa,na vyombo vyte vya kupikia nshanunua tyr

Nini tatzo...???...naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
587
1,000
Acha haraka ya maisha,kaa kwenu,piga kazi ukipata demu mzuri hamia kwake ukiona anafaa kuoa oa kabisa.Unafikiri kulipa kodi ya nyumba ndo kuanza maisha?
 
Safuha

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,558
2,000
Mkuu usitoke nyumbani hapo.
Tafuta uwanja na anza kujenga taratibu ikiws nyumbani.

Sio lazima na wala sio sifa kwenda kutafta gharama zisizo sababu kupanga,wanaopanga alafu wana sehemu za kukaa ni wale ambao wanastarehe zao mbaya hawataki wazee wawaone.

Mimi ningekuwa niliponaksa ns wazazi basi ningeendelea kukaa na wazee mpaka ningejenga ..usitoke nyumbani mkuu,vinginevyo ukihisi unabanwa.
 
BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
749
1,000
Thanks mkuu...siku ya leo nmejifunza kitu kkubwa sana kwenu...!!nahic kinachonizuia ni hyo kwenda kumwaga hela kibao kwa mwenye nyumba...!!
Mkuu usitoke nyumbani hapo.
Tafuta uwanja na anza kujenga taratibu ikiws nyumbani.

Sio lazima na wala sio sifa kwenda kutafta gharama zisizo sababu kupanga,wanaopanga alafu wana sehemu za kukaa ni wale ambao wanastarehe zao mbaya hawataki wazee wawaone.

Mimi ningekuwa niliponaksa ns wazazi basi ningeendelea kukaa na wazee mpaka ningejenga ..usitoke nyumbani mkuu,vinginevyo ukihisi unabanwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
PILOT 7

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,214
2,000
We mtoto wa kiume bhana Ukitaka kuyajua Maisha Move MoVe sio Home Tu we Move anyways namaanisha Kukaa nyumbani Waachie Dada zako ambao hawajaolewa.

Unafikiri Baba yako hana kwao Acha ujinga wa Kuzoea KKK

me nakuasa Ondoka kwenu uwapishe na wadogo zako wakue unabana nafasi za wenzako kujijenga kimaisha
 
BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
749
1,000
Mimi ndo mdogo ndugu....ila ushauri wako pia nauchukua....umeongea kiume
We mtoto wa kiume bhana Ukitaka kuyajua Maisha Move MoVe sio Home Tu we Move anyways namaanisha Kukaa nyumbani Waachie Dada zako ambao hawajaolewa.

Unafikiri Baba yako hana kwao Acha ujinga wa Kuzoea KKK

me nakuasa Ondoka kwenu uwapishe na wadogo zako wakue unabana nafasi za wenzako kujijenga kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,806
2,000
Tangu mwaka jana mwez wa 8 nilidhamiria kutoka maisha ya home na kwenda kupanga....!!maana nilihisi itakuwa vizuri zaidi kwa mimi kupanga mipango ya maisha....lkn pia ni kwakuwa ni mwanzo wa safari yangu ya maisha....nina miaka 24

Ninafanya biashara ya duka....pia nna channel zingine za kuingza pesa mbali na hili duka...so hua nikikusanya nlchokipata angalau kinakidh mahitaji

Hela naipata....but kila nikipanga kuanza kutafta chumba tu....!!ile nikiamka kesho yake hela yote nanunulia bidhaa dukani...nimeghairisha huu mpango tangu mwezi wa 8 mpk sasa....!!

Nashukuru Mungu duka linakua kweli...limepiga hatua kubwa saaana....!!

Lakini naomba kujua hii hali ya kughairisha huu mpango na kuiweka hela ya kodi na gharama zote za kupanga dukan inatokana na nn??(uoga wa kupanga au uoga a kufilisika?)

Na hapo sio kama sijanunua kitu chochte
.jiko la gesi,sofa,kitanda,trays za vyombo,sabufa,na vyombo vyte vya kupikia nshanunua tyr

Nini tatzo...???...naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Ke au Me?..tuanzie hapo ..kama ni Ke naweza kukupa chumba kwenye nyumba yangu ukaanza kulipa baada ya miezi sita...kama ni me unatuaibisha wenzio sababu unaweza kabisa kuanza kwa kulala dukani na hapo ndipo utapata hasira ya kuwa na kwako.
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
13,597
2,000
Mimi ndo mdogo ndugu....ila ushauri wako pia nauchukua....umeongea kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa age hiyo na unachofanya uko sahihi.

Hizo gharama za kupanga achana nazo, wekeza kwenye kukuza biashara, ukipata kiwanja nunua.

Unaweza baada ya muda kuanza kujenga taratibu, hata nyumba ndogo ya vyumba viwili ukahamia.

Mungu akikupa Neema zaidi kuna siku utajenga kubwa zaidi.

Hakuna sababu ya kupanga kama una pa kukaa na hubanwi.

Safuha kazungumza sahihi.
 
Top Bottom