JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,470
- 2,560
Kweli litapona ila mmmhm acheni tuNakupongeza kwa maamuzi ya kuendelea kupigania penzi lenu. Uaminifu ukivunjika kidonda chake huchukua muda mrefu kupona. Ipe muda ndugu mdau, ipe muda. Jeraha litapoa
PositiveBro.
Samehe sahau mabaya na ujitahidi kumbuka mema yake na kama unauwezo mzingatie zaidi ya kawaida, kama utaweza mtoe out sana kama unauwezo hata wa kumpeleka tours mbali mbali nenda nae.
Chukulia kama chachu ya kujenga maisha mapya na bora.
Kumuacha haitoweza kuwa suluhisho mana hakuna mwanamke mkamilifu labda umuumbe wako, usiachane na mpenzi wako komaa matatizo huja ili yatatuliwe ndy maana ya maisha mkuu, huwezi pata mazuri tu ukasema unaishi duniani we kaza moyo kuwa na tabia za mwanaume usiwe na tabia za kijana.
Anaekushauri huyo mwanamke hakufai je yeye anajua anayekufaa ni yupi?
Umehangaika nae miaka mi 3 mmeshaanza kuzieana saivi unajivuruga unataka ukaanze mapya uendako hukujui, ukikutana na kicheche utafanyaje mana wako madem wanaojua kuzingua kwenye mahusiano je utamuacha tena?
Kama ukimuacha utakuwa Ni mtu wa mahusiano mapya hadi lini?
PositiveMkuu knows pole sana Kaka kwa hiyo hali unayooitia na Ushauri wa Mshana Jr umekuwa ni bora sana kukusaidia kukupunguzia hayo maumivu unayopitia.
Mkuu asikwambie mtu hakuna kitu kinachoumiza kama usaliti hasa pale wewe unakuwa ni muaminifu halafu mtu wako anakusaliti. Nina same case na wewe lakini Mimi sio Mpenzi ni Mama mzazi, ubaya wa kila namna alinifanyia ninaposema Ubaya elewa ubaya wa Kiafrica Matusi, masimango, kufukuzwa wakati ninaumwa, ushirikina nk , ameniomba msamaha na nimemsamehe kiroho safi lakini wakati mwingine huwa najikuta nikikumbuka yale mambo aliyonifanyia huwa nakosa kabisa furaha, najisikia hasira, najisikia kulia, najisikia mnyonge na kila hali mbaya. Huwa inaumiza sana japo nimeshamsamehe lakini kumbukumbu imekuwa ni ngumu kufutika. Nimefanya njia zote za kuomba ushauri, kusoma vitabu na kujichanganya sana na watu nakaa sawa lakini nikikumbuka huwa narudi kuvunjika sana moyo.
Mkuu huo ni mtihani na imeahakuwa kama kidonda ishi nacho tu. Ngumu kuondokana na hiyo hali na ukiangalia hukuwahi kumsaliti yaani wewe upo clean. Ishi tu Mshikaji wangu ukiona hizo memories zinakujia kwa wakati huo jaribu kufanya mambo mengine yanayo ku keep busy na kukufurahisha ili kutokuendeleza hizo memories kukuathiri.
Hakuna mtu asiyekuwa na changamoto Mkuu na huo ndio mtihani wako.
La mwisho tafuta siku nzuri ya mapumziko utoke nje ya mazingira mliyoyazoea na huyo MpenZi wako mkafurahie maisha na ujaribu kumuelezea vile ulivyoumia na lile tukio alilokupiga nalo. Lakini ukiwa kama Mwanamume umesamehe. Jitahidi uwe unapata muda wa kuzingumzia maisha yenu kwa upana kila mara hata mara moja au mbili kwa mwezi. Hiyo itasaidia kuboresha afya ya mahusiano yenu.
Positive 🙏Usijutie Maamuzi yako ya kumsamehe ila pia nakuomba usimuumize na wewe.
Kama umeamua kusamehe basi amua kusahau pia. Kila Jambo ni MAAMUZI tu lakini wewe bado HUJAAMUA KUSAHAU.
FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA HASA MAGUMU KAMA VILE SQUATS + JOGGING UKIJITAJI SAPOTI SEMA ULIPO TUTAKIMBIA PAMOJA NDANI YA MWEZI HAUTAKUMBUKA MAMBO YENYE KUKUUMIZA HATA MIMI NILISALITIWA NA WIFE NILISAMEHE NA TILL NOW TUNAISHI NA TUNALEA.
Mchawi!Kumbuka kuwa kuna muda ilichomoka akaingiza mwenyewe kwa mikono yake.
Mapenz bwana anapiga chini alafu anapata demu ambae ni EX wa mtu fulani ambae alimtoa bikra.Kama unaumia mpigie chini tafuta mwingine ili uwe na amani moyoni
Mapenz bwana anapiga chini alafu anapata demu ambae ni EX wa mtu fulani ambae alimtoa bikra.Kama unaumia mpigie chini tafuta mwingine ili uwe na amani moyoni
Kumbe!Aiseee pole ila kwan ukupewa elimu ukiwa na mke lazma awe na awara wake wakumpa raha ss tulisha jengewa mising na wazee wetu mwanaume hapo peke yako kwaiyo chukulia tu kama ajali acha uzaifu mshamba ww
Umefikia uamuzi gani?Nikweli mkuu
Yaani miezi 2 mtu unashindwa kuvumilia? What if mtu akiumwa miezi sita si utagongwa mpaka basi.
Unamshauri kama wewe ndo umemgongea.Sikia babu mambo ni mawili tu hapo kumwacha aende,Au tafuta sababu ya kumuumiza na yeye hiyo ndo itakuwa dawA ya wewe kujitibu Otherwise hutoweza kusahau hilo piga tukio kama ana dada ukiweza piga kama uwezi tafuta kitoto cha afu mbili kipangie au Oa kabisa na huyo dem sijui mke akikisha amejua,Hivi ndivyo inavyotakiwa kuWa Mura.