holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,671
- 8,670
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpaka unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta muda mrefu kumbe unacho mkononi umekishika au mfukoni
Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha Form Four kwa muda huo kilikuwa kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi nawauliza wadogo zangu wanasema hawajui kuja kucheki kumbe ni nacho mkononi.
Nilitamani nikichane
Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii....View attachment 1021766
Sent using Jamii Forums mobile app