Hii gari hata bure sipokei


Hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Hiyo zawadi hata mimi naweza toa japo whyfu pia hana gari lakini siwez mnunulia hako kagari
 
Kuna siku pia nilimuuliza swali kama yeye ni me au ke akaishia kutukana tu, yawezakuwa anajiuza huyu mtoa mada
Yuko baharini anavua samaki Sasa sijui anawavua samaki hao humu jf sea

Ova
 
Duh haya mashindano siku hizi sijui tatizo nini..
Mkweche kabisa huo
 
Kwa kweli mkuu, kimeo kilicho pitiliza
Kwa kuangalia picha tu? Unaweza kujugde kwa macho tu? you never know engine na gia box zikawa master class!. Gari sio matairi au bodi peke yake banaa!
 
Bora kupewa bure kuliko kukosa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…