Hii gari hata bure sipokei

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Madhali ningekua labda hata km ningekua na dhiki ya usafiri kwa mfano hata kama ningekua sina gari nisingepokea hii hata bureee sitakiii


Yaani big noooo

Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss kwa kweli

Serious wanapewa used baby walker?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu hilo gari ni zawadi kwa mamiss sasa wewe unataka kupewa kwani wewe miss??
 
Warembo wa kanda ya ziwa ni kama jiwe tu. Hawana thamani hata hiyo gari wamependelewa sana. Wawape guta used
 
Tatizo mmewawahi hiyo kamati mngesubiria mpaka wangesema thamani ya gari Hilo akatalo pewa mshindi!
Ungesikia inathamani ya mln 20 passo hiyo

Ova
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…