Hii game,

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Amani kwenu wandugu, Kwa aliyewahi kucheza hii game ya draft~PC mpaka mwisho atujuze amewezaje.,?
Maana mimi nimeishia level ya 2 tyu..
 
mi huwa nafungwa tu, jamaa wachawi kweli
 
kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda.
 
kwanza halieleweki kuna tricks wao wao(pc) wanazitumia lakini wewe ukizitumia kinagoma(invalid move). . so huwezi kuwashinda.

Lakini kutakua na maujanja..
 
Walio tengeneza hiyo game ni binadamu kama wewe sasa kaa chini na ufikirie in deep..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…