Hii fundisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii fundisho

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kiba, Aug 7, 2012.

 1. Kiba

  Kiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dingi mmoja mlaku na baili wa kununua siku moja kakaa muda kinyama bila kula nyama sasa akaamua kununua nyama kutwa yu home anasubiri ihive ale mara mama kaenda chem chem kuongeza maji dingi kadere hamna m2 kaingia jikoni kudokoa mara mtoto aliyekua skul akaingia jikoni ghafla dingi yu kwenye chungu dingi akashituka na kumwambia mtoto SHIKAMOO
   
 2. S

  SHERRIE Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwakweli neno shikamoo lina matumizi mtambuka.
  ukibambwa unadokoa nyama, sukari, n.k - shkamoo!
  unamuandaa mtu kumuomba shinkumi- shkamoo!
  Ila sana kwa watoto......
   
Loading...