Yaliwahi nikuta kama yako mwezi wa 4 mkuu...wapuuzi mno haoNimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Pole sana jamaa yetu.kuna watu humu kila kitu kwao ni kebehi tu.ila wasamehe bure...hizi kampuni za kipigaji tu, hapo hao servants walitaka utowe kitu kidogo ndio wakuruhusu ila haukuwaelewa lugha yao.Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230

Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Hivi ATCL nikichelewa wananipokea tu? Yale MAELEZO yao wanataka yazingatiwe na mteja ni ya uongo?Pole sana jamaa yetu.kuna watu humu kila kitu kwao ni kebehi tu.ila wasamehe bure...hizi kampuni za kipigaji tu, hapo hao servants walitaka utowe kitu kidogo ndio wakuruhusu ila haukuwaelewa lugha yao.
Next time nenda ATCL hewaniiii![]()
Hivi ATCL nikichelewa wananipokea tu? Yale MAELEZO yao wanataka yazingatiwe na mteja ni ya uongo?
Siku ukichelewa check in ya ATC ndio utajua habari yakePole sana jamaa yetu.kuna watu humu kila kitu kwao ni kebehi tu.ila wasamehe bure...hizi kampuni za kipigaji tu, hapo hao servants walitaka utowe kitu kidogo ndio wakuruhusu ila haukuwaelewa lugha yao.
Next time nenda ATCL hewaniiii![]()



