mnyakwetu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 309 Reaction score 96 Aug 29, 2014 #1 Nina pc compaq nikidownload sofware yoyote nikiinstall inanijibu hivi windows cannot access the specified device,path,or file,you may not have the appropriate permissions to access the item hii inasababishwa na nini?
Nina pc compaq nikidownload sofware yoyote nikiinstall inanijibu hivi windows cannot access the specified device,path,or file,you may not have the appropriate permissions to access the item hii inasababishwa na nini?
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Aug 29, 2014 #2 Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator.
Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator.
mnyakwetu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 309 Reaction score 96 Sep 1, 2014 Thread starter #3 Kang said: Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator. Click to expand... Mkuu nmefanya hivo imeshindikana,kuna wakati inanambia update ua graphics driver na sijui ni nini
Kang said: Probably hauko logged in kama administrator kwenye hiyo PC, jaribu ku right click hiyo setup file kisha chagua Run as Administrator. Click to expand... Mkuu nmefanya hivo imeshindikana,kuna wakati inanambia update ua graphics driver na sijui ni nini