Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,605
Reaction score
59,744
Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini.

...........................
 
"Survive of the fittest" kwangu hiyo ndio law pekee ya nature iliyo na uhalisia
Huku kwenye ground kuna washenzi wanacheza rafu sana, kacheza rafu halafu ubao unasoma matokeo fresh wewe unacheza fair halafu hola hola, wanatutia hasira kishenzi
 
Mwamba kimekukuta nini?
DUNIA IPO FAIR SANA, SEMA WATU NDIO HAWAPO FAIR.
Dunia haipo fair, watu wanacheza rafu sana tena sana wewe chukulia hivyo hivyo ila watu wanacheza rafu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…