Hii dharau sijapata kuiona!!

Nimeishia tu kucheki mlevi akikata mauno ya sangoro ya Diamond. Wameniuzi sana
 

Attachments

  • 1451161587689.jpg
    28.3 KB · Views: 417
Mhhhh aisee afadhali yangu mimi nakunywaga Bavaria, au nayo inaleta nzi jamani?
Nilikuwa sijui hili!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Nasikia hiyo Bavaria nayo ina makusudi yake.
 


Huo ni mkosi kutokana na KITIMOTO
 
Napendaga kweli dharau za namna hii.....

Ningelianzisha timbwili la haja....... wangemleta mmiliki kuja kupozaa
Huyu jamaa ange anza kumtafuta manager....amueleze! Hao wahudumu wamewawekea wanao wapa bia za bure...
 
hapo counter unataka kubambia bambia wahudumu wakupandishe stimu eheee
 
Ubaguzi ni tatizo katika biashara za tanzania. Kwani hamjawahi ona mtu anazidishiwa bei kwa kuwa ana gari au ana kitambi?
 
Sasa sisi tukushauri nini na Bar umeshaondoka! au unataka uwarudie ukalianzishe upya? Acha kula hiyo Kiti moto ni mbaya kwa Afya, (Sina haja ya kuweka fact coz hii kitu tumei discuss sana tu humu)
 
Sasa sisi tukushauri nini na Bar umeshaondoka! au unataka uwarudie ukalianzishe upya? Acha kula hiyo Kiti moto ni mbaya kwa Afya, (Sina haja ya kuweka fact coz hii kitu tumei discuss sana tu humu)
Acha uzushi usio na kichwa wala miguu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…