Hii decoder ndiyo imekufa au?

Hii decoder ndiyo imekufa au?

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Tangu juzi decoder yangu ya dstv imeniletea mauzauza. Haioneshi chochote kuna kataa kanjano kanawaka. Decoder ni DSD 3 U. Mwenye ufahamu anisaidie maana dstv wameniambia nizime na kuwasha na nimefanya hivyo mara kadhaa. Napitwa na habari
 
Ipeleke DSTV inahitaji software upgrade
 
Naomba kufahamu. je ni hizi za sasa ambazo zina rangi nyeusi?
 
Asanteni wakuu nimeipeleka DSTV na imefanya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom