Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

Hii course ya Multimedia Technlogy and Animation inahusiana na nini?

Sodoka uko vizuri..
Kwahyo sound engineer wakoje na wanasoma nni
Kitu kimoja ni kwamba... Familia nyingi za ki Tanzania hupenda kuwachagulia watoto nin cha kusoma,..but mi naona Do what you love from your heart. Mtu akifauru Biology, chemistry, na physcs atakwambia nataka nisome MD, au CO... Ila hana ndoto hizo za udaktar mapema sikufichi huwa ndo ilivyo,, mathematics ikitambaa kidogo atasema mimi nataka kusoma civil Engjneering tu!! Ndo vitu ambavyo vipo..ni better u realize what u love .mapema sana, gundua talent yako ifanyie kazi.. Maisha sio kuwa daktari, mwalimu au... E.t.c..Fight for a good life and enjoy what you love.
 
pale juu kuna jamaa kapotosha ..huwez kuwa sound engineer kwa kusoma hii kitu ..utaishia kama yule jamaa mtengeneza katuni za Mama Ndege wa TBC .....achana nayo hii kitu....
hiv ukimaliza diploma ya Information technology(IT) unaweza kusoma computer engineering?
 
Back
Top Bottom